Uuuuuuwiii jamani jamani maskini weeeee eee Mungu wangu this is really sad. Sipati picha wazazi wana hali gani. Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za marehemu wote mahali pema peponi. Amina
Inaonyesha wazi jamaa alikuwa speed.. Sasa umepakia watoto tena wanaenda tour..haraka ya nini wakati humo barabarani tu ni sehem ya kujifunza.. Sasa unawakimbiza wee utadhani nini sjui..
Haya maeneo yana kona Kali sana... Na hii mvua sio rafiki sana maeneo yenye kona kali... Looh! Inasikitisha saana. Wazazi poleni sana, maana najua maumivu haya, na sio kwa wazazi wa watoto hawa tu, bali maumivu haya ni kwa wazazi wote Tanzania na Dunia nzma... Roho za marehemu wapumzike kwa amani na wapate rehema kwa Mungu... Amen.