[emoji1787] haya ndio maisha yetuDear yani acha tuu...juzi kuna mtu ananidai anapiga simu balaaa nikamwambia nipo msibani nitakutumia nikitoka hapa ila hasikii alipigaaa mpk nikazima simu nikasema sasa unanikera na hela ninayo mimi sikutumii leo...
Ndo hivyo raha za huu ulimwengu shuruba shuruba za hapa na pale siku zingine raha mpk utosini..siku nyingine stress wiki nzima still u move on hakuna kukata tamaa..
Daah mkuu kemea hili pepo jamani ebu mjitahidi kuwashirikisha watu wenu wa karibu mnayoyapitiaMi binafsi hali kama iyo umekua ikinisumbua sana j4 nikifikia mungu mkubwa
Mjitahidi tu kujichanganya na watu akili inachangamka pole sana dearKumbe hii hali Huwa tunapitia wengi.
Nahisi na wewe unatabia ya kukaa peke Yako peke Yako ukiwa huna shughuli ya kufanya.
Mimi nadhani Kwa kuwa tuna muda mwingi wa Kuwa peke yetu ndio tunapata muda wa kuwaza mambo ambayo hatuwezi kuyabadilisha.
Kuna muda natamani ningeweza kuchangamana na watu ila nilishashindwa
Pole mkuu
π₯π₯π₯π₯π₯π₯ Dont give up mamyMimi...pia namwazo kama hayo..nahisi mwendo nishaumaliza...all I want is to die
Aiseee Mungu akufanyie wepesi mkuu uondokane na hilo wazo la kujiuaPole boss naijua hiyo hali jana tu nimepitia mpaka nikahisi ndo basi nikasali mpaka sala ya kuungama zambi ila nimeamka asubui nashanga bado mzima nikashukuru
Nikavuta k vant kubwa na energy ya azam nikapoza moyooo..........
Nimechoka na hii haliDaah mkuu kemea hili pepo jamani ebu mjitahidi kuwashirikisha watu wenu wa karibu mnayoyapitia
Mungu awafanyie wepesi muondokane na pepo la mauti
Ajitahidi tu aseme kuliko kuweka vitu moyoni ndio unapata mawazo mabayaNaamini una shida ingine ambayo huwezi kusema, Mungu akusaidie
Una uhakika ni mali zinamtesa mkuuuuMali za urithi zikishaIsha zinawatesaga sana pambana tu!
Picha na maneno vinakataana kabisaππππ Mmmh mbona kuna ukakasi hapo ππππππππ kwann picha ntakuwa nimekupoteza mkuuu π€
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea
After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile
Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta
" bye bye"
Nadhani jamaa hata demu hana huyu itakuwa ni domo zegr aseeee hata mimi nimemshauri hivyo apate mke au hata changudoa mmoja amtoe stress hizo πKijana tafuta mwanamke akutoe stress pata na watoto. Wewe ushakua mama ashaenda jenga familia yako na wao waje wakulilie siku moja.
Hapo unamlilia mke wa baba ako. Tafuta na wewe mke wako watoto wako waje wamlilie.
Jamani kwa nini msifikie uko hiyo roho ikikumata kama mkristo sali sanaa kama muislamu omba sana dua pole sana kipenziMimi...pia namwazo kama hayo..nahisi mwendo nishaumaliza...all I want is to die
Napenda wanawake ma fighter aseee π€π€π€π€π€π€Dear yani acha tuu...juzi kuna mtu ananidai anapiga simu balaaa nikamwambia nipo msibani nitakutumia nikitoka hapa ila hasikii alipigaaa mpk nikazima simu nikasema sasa unanikera na hela ninayo mimi sikutumii leo...
Ndo hivyo raha za huu ulimwengu shuruba shuruba za hapa na pale siku zingine raha mpk utosini..siku nyingine stress wiki nzima still u move on hakuna kukata tamaa..
Hapana usiseme hivi mkuu una watu washirikishe unayopitia toa vya moyoni sali sanaaaNimechoka na hii hali
Daaaah π π π tuishie hapo auntPicha na maneno vinakataana kabisa