Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Get a Bible, read it,

Call on Jesus. Anakusikia.

Ukimruhusu Yesu aingie moyoni mwako, Amani,Upendo, furaha vitaingia ndani,

HOFU, hasira, kukata tamaa, chuki, na Kila aina ya dhambi vitatokomea kusikojulikana.

Amen
 
Pesa pesa kama haikupi furaha basi tafuta wenye uhitaji wasaidie wakifurahi basi nawe utapata furaha trust me, safiri enjoy nawatu wapya jichanganye kwa watu wa hali ya chini,

Pesa Pesaaaa ,Pesa sabuni ya Roho ,Mwenye Pesaaaa <mwenye Pesa siyo mwenziooo Nasema.

Pole sana hyo hali ya kujiskia vibaya huwakumba wengi. Usikae kimya jaribu kuongea na watu wawili watatu wazime wakupe experience bila kusahau kusali na kuhudhiria ibada inasaidia sana
 
Kumbe unakuaga na ushauri mzuri muda mwingine sio 😊😊😊😊😁😁😁😁😁
 
Polesana watu wanapitia changamoto Kali mno ila wanavumilia tu yatapita hayo
Huyu Mwamba kaishi maisha ya kudekezwa sana na inaelekea alikuwa ni mtu wa kujitenga na watu na aliyekuwa anampa hicho kiburi hayupo tena. Akubali kujishusha na aanze kushirikiana na watu wanaomzunguka. The beauty of life grows through our personalities na sio kwenye materials stuffs. Nakuona sana kwenye threads za kuwapa watu faraja 😂😂😂😂
 
Attention seeker...

Threads zako za nyuma zinajieleza hivyo...
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Mkuu Kwanza ID yako Phobia omba moderator uibadilishe iwe ni yenye kuashiria nguvu na ushupavu. Maisha ni matamu mno. Ninakuja PM Mimi Zogwale mtu mzima nimepitia mengi. Nitakuunganisha na wataalam wawili wa saikolojia na ushauri nasaha watakusaidia utapona. Mkamate sana Mungu hashindwi lolote ukimuomba
 
Pole yake anayewaza kujiua huyo kuna watu tumepitia magumu na tukatengwa na watu wote mpaka Wazazi wetu lakini tuliamua kuwa na imani na kusimama na Mungu. Mpaka sasa nimekuwa imara na simuogopi wala kumnyenyekea mtu yeyote na heshima ipo. Maumivu yapo kwa ajili ya kutujenga na kutufanya kuwa imara.
 
Pole sana mkuu. Sijui ni kitu gani hasa unapitia, ila pole sana.

Make sure unapata mtu wa kuongea nae, akiwa wa jinsia tofauti na yako itapendeza zaidi.

All the best
Akiwa wa jinsia yake itakuwaje??
 
Pole yake anayewaza kujiua huyo kuna watu tumepitia magumu na tukatengwa na watu wote mpaka Wazazi wetu lakini tuliamua kuwa na imani na kusimama na Mungu. Mpaka sasa nimekuwa imara na simuogopi wala kumnyenyekea mtu yeyote na heshima ipo. Maumivu yapo kwa ajili ya kutujenga na kutufanya kuwa imara.
Safiii Manyanza
 
Safiii Manyanza
Tukiandika maumivu tuliyopitia itaonekana ni maigizo lakini watu wanajua akiwemo Maxence Melo mwenye JF yaani ni maumivu yenye evidence hata ukishare na watu hutapata chochote ninachofanya ni kuwapa tips za kukabiliana na hizo nyakati za maumivu Kwa sababu nimepitia huko.
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Hey pole sanaa Kaka shida zetu binadamu ni zile zile Tu zinatofautiana ukubwa
Ebu imagine kuna mtu Yuko kwenye war zones kama Somalia ,Yemen ,Ukraine na hapa napoandika kafiwa na mke mama Baba na watoto na bado Yuko kwenye mazingira chakula Tu kupata ni shida lakini bado ana matumaini
Jikaze ndugu yangu
Imagine tu humu humu jamii forums kuna watu Wana stress kibao zaidi yako ukiwaskiliza unaweza hisi kumbe ww Una afadhali na bado wana matumaini sembuse ww ndugu yangu jikaze Kaka
Na nakuombea Kwa Allah akupe subra ndugu yangu
 
Tukiandika maumivu tuliyopitia itaonekana ni maigizo lakini watu wanajua akiwemo Maxence Melo mwenye JF yaani ni maumivu yenye evidence hata ukishare na watu hutapata chochote ninachofanya ni kuwapa tips za kukabiliana na hizo nyakati za maumivu Kwa sababu nimepitia huko.

Nakuelewa
 
Back
Top Bottom