Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Acha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi ...
Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki...
Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn....
Kwa hiyo Ibrahimovic ni babu yenu we mvaa kobazi? Halafu mie sijazaliwa muislam shika adabu yako.
 
W
Wewe unathibitisha vipi babu yako ni Ibrahim zaidi ya kuambiwa tu na watu toka nje ya nchi yetu.
Mimi sina dini, labda wewe ndiyo mwenye chuki kwasababu una upande unaoutetea.
Huyo Ibrahim amemjulia wapi? Wakishajiita Ibra basi ndio wanakuwa waarabu kabisa maana kuna mwingine kwenye Uzi wa Zanzibar akasema waarabu asili yao ni weusi.

Hawa watu waache viroja
 
Dini zote huhubiria watu walioanza kujitambua, ili aaminiye awe converted, asiye amini aachwe,

Mungu si mwanadamu! Hatumii mbinu za kuwahi siti za mbele. Watoto wote, Ufalme wa Mungu ni wao!
 
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"


Dini ZA middle East waafrika wanakomaa nazo unadhani wao ndio waliletewa
 
Asiemuamini mungu mkana mungu
Basi jamaa kakosea kusema kila mtu ni atheist alivyozaliwa.

Mimi hata nisingelelewa katika dini.Ila nilivyo barehe na akili kuimarika lazima uwaze uwepo wa something special and supernatural called God.

Imani ipo kwa kila fikra ya mtu.Always Human kind seeks God.

Hao atheists ni kwamba imani yao hakuna Mungu Ila ni baada ya kufikiria kuhusu Mungu.
 
Uislam dini ya juzi tu hapa mudi kakopi vitabu vya wayaudi na wakristo,u kristo ulikuwepo karne kadhaa kabla ya uislam,kiba aache uchoko
 
Na bado anajiona ni special. Kumbe ni kiazi.
Hajui anajifanya anajua.
Watu wetu wanakua public figures bila kujua values and what it takes kuwa public figure. Ama meneja wake naye ana matatizo kwa kushindwa kumtengeneza msanii wake, au ni ubishi na ujuaji wake.
Ukisikiliza interview ya salama na seven utaelewa mahusiano ya kiba na managers wake inakuwaje.

Seven alisema in a soft way kuwa kiba ni ngumu kumbadili kuwa brand inayouza maana tayari ana mifumo yake ambayo ni ngumu kushawishika kuibadili, nzuri kibinafsi ila mbaya kibiashara
 
Wengine tumekulia familia zina waislamu na wakristu na tunapendana sana sababu tunaheshimiana mipaka yetu.
Kuku tunawapelekea watuchinjie ili tukila nao wasijiskie tofauti na hata akikukuta maeneo unakula kitimoto wala hamaindi tena anakuacha unakila in peace
Uko sahihi sana kaka,wengine baba Islam,mama Christian, yaani maisha yetu tunaogopa sana kubaguana na hua naogopa sana majadiliano ya hizo dini mbili!Mimi yananichoma sana mwenzenu[emoji21][emoji21]!!!naogopa hata kuchangiaga nabakigi kimya sana!

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom