American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
Unaelewa anachoongea jamaa?Tulizaliwa kutoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa anachoongea jamaa?Tulizaliwa kutoka wapi?
True waislam huwa sio wavumilivu wako violent sana halafu wenye dini yao kule Mecca hawana habari wanakula raha tu jangwani. Ila sasa hawa makobazi shida tupu.Mkristo akisema vice versa kuwa kila mtu anazaliwa mkristo utasikia wanaandamana
Kwa hiyo Ibrahimovic ni babu yenu we mvaa kobazi? Halafu mie sijazaliwa muislam shika adabu yako.Acha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi ...
Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki...
Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn....
Tatizo itaathiri biashara yake
Hawa vijana need to be taught issues za public speaking
Huyo Ibrahim amemjulia wapi? Wakishajiita Ibra basi ndio wanakuwa waarabu kabisa maana kuna mwingine kwenye Uzi wa Zanzibar akasema waarabu asili yao ni weusi.W
Wewe unathibitisha vipi babu yako ni Ibrahim zaidi ya kuambiwa tu na watu toka nje ya nchi yetu.
Mimi sina dini, labda wewe ndiyo mwenye chuki kwasababu una upande unaoutetea.
Adam alihubiri dini? Uislam tena 😃 muislam hata aende shule kiasi gani Ila Kama alianzia madrasa basi elimu nyingine haina maana kwake.Dini ni moja tu toka Adam mpaka Muhammad wote walihubiri uislam
Hamna mtu bora mbele ya Mungu kisa dini yake hayupo.Hawezi kucha kusimamia dini kisa eti brand yeye anamwamini mungu wake.
Huo ni msimamo wa waislamu karibia wote
Ila ukweli ambao hausemwi ni kuwa watu wote tulizaliwa tukiwa atheist
Ongeza nyama MkuuUISLAM HUU AMBAO ULIANZISHWA NA MA JESUITS WA VATICAN KWA KUMPA MOHAMAD KAZI MAALUMU???
Urudishe hio chupa tafadhali..Popcorn na Mirinda ya barid pembeni hapa
Dini ZA middle East waafrika wanakomaa nazo unadhani wao ndio waliletewaKwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"
Nyama atoe wapiOngeza nyama Mkuu
Maana yake mtu ana akili fupi anasikiliza mawaidha ya kina. Shehe kipozea anayababe kama yalivyoHaijalishi ni mkristo au muislamu anayetamka hayo maneno. Ni ujinga uliopitiliza
Basi jamaa kakosea kusema kila mtu ni atheist alivyozaliwa.Asiemuamini mungu mkana mungu
Ukisikiliza interview ya salama na seven utaelewa mahusiano ya kiba na managers wake inakuwaje.Na bado anajiona ni special. Kumbe ni kiazi.
Hajui anajifanya anajua.
Watu wetu wanakua public figures bila kujua values and what it takes kuwa public figure. Ama meneja wake naye ana matatizo kwa kushindwa kumtengeneza msanii wake, au ni ubishi na ujuaji wake.
Uko sahihi sana kaka,wengine baba Islam,mama Christian, yaani maisha yetu tunaogopa sana kubaguana na hua naogopa sana majadiliano ya hizo dini mbili!Mimi yananichoma sana mwenzenu[emoji21][emoji21]!!!naogopa hata kuchangiaga nabakigi kimya sana!Wengine tumekulia familia zina waislamu na wakristu na tunapendana sana sababu tunaheshimiana mipaka yetu.
Kuku tunawapelekea watuchinjie ili tukila nao wasijiskie tofauti na hata akikukuta maeneo unakula kitimoto wala hamaindi tena anakuacha unakila in peace