Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

Mbona wamefanya fair tu, hawajampiga wataizuia pikipik kwa muda ili akalipe faini mbili. Angetaka haki angetimiza kwanza wajibu wake wa kutii amri ya kuzuiwa kupita barabaran wakat msafara unapita
Nchi hii matahira ni wengii
Unavunja Sheria Kwa KUSIMAMIA Sheria uko timamu
 
Kadri upepo unavyozidi kuvuma ndivyo mnanlii wa kuku unakuwa wazi yani kiufupi wote haya mateso yatatufikia tu hata kama ulitiki kwa mama
Pole sana kwa msukuma mwenzangu kupitia kisago hicho cha mapolisi
 
Nchi hii watendaji wa serikali hawapendi kabisa kutumia Sheria zilizopo kutoa haki ingawa wao wanataka kutendewa haki kwenye masuala yao. Watendaji wa serikali wanawaza kumkomoa raia mnyonge kila wakati. Kuna haja gani ya askari kumwaga alzeti ya kijana kwenye mfereji wakati hao askari wamefanikiwa kuzuia tukio kabla ya madhara kutokea. Mtu kama huyo angechukuliwa hatua kwa mujibu wa Sheria badala ya kuharibu mazao ambayo kila wakati serikali inatoa ruzuku ili kuongeza uzalishaji. Huu ni uhujumu uchumi kwa upande mwingine.
Askari wetu wanawaza kuumiza tu, hali hii ndio iliyopelekea vijana wengi nchini kutekwa na kuuwa kwa vitu ambavyo serikali ingeweza kuchukua hatua kwa mujibu wa Sheria.
 
Vitu vingine ni kutumia hekima tu mkuu ila tatizo wenye madaraka ndiyo hivyo tena wamenyimwa akili na hekima wakapewa nguvu tu
 
Mi nafikiri huyo boda kapewa adhabu rahisi kwa kosa alilolifanya .,Badala wangemchukua kwenda nae kituoni mara akae mahabusu au afikishwe mahakamani afungwe miezi kadhaa, ni bora tu afunge mzigo upya. Huenda sheria ni kali zaidi kuliko hiyo adhabu.
Hata kama sheria ni kali ..huo mwenge hauna hadhi ya kutweza utu wa mtu....ndo maana watu wanataka katiba mpy cz kuna upuuz wa miaka ya 67 huko mpk leo hii upo ti...we sasa hiv hapo ukiambiwa uvalie chupi au old fashion yyte hutataka cz utaonekana umepitwa na wakt..kwa nini hii misheria kandamizi iendelee kuwepo?
 
Sasa huyo jamaa alikuwa hajuwi kuwa hahusiki kwenye huo msafara??

Anaingia wakati hahusiki alitegemea nini?

Nipe faida moja ya moto unaokimbizwa[ mwenge] .

Je mtu na mto unathamini nini kabla?
 
Kweli mwenge ndio hivyoo!
 
Mwenge SI koroboi tuu!,Wamfikishe wapo?
 
Hapo wanamshambulia wanatamba as if wanafanya jambo la maana.

Unaweza kuwa mtu wa hovyo namna hii mbele ya binadamu mwenzako ?
 
Kwahiyo adhabu yake ilikuwa kutupa mzigo wake mtaroni ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…