Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona



Ndoa ni kwa mwanaume na mwanamke tu na sio kwa mvulana na msichana


Mwana: ni mtu ambae ameshakomaa kiakili i.e utukufu wa MUNGU umeshaludi ndani yake


Mvulana na msichana ni kama watoto wachanga ambao hawana Akili yoyote ya kujitambua mfano wanatoa haja kubwa na ndogo bila utaratibu , wanaweza kula chochote ....
 
usiende kwa wazazi mkuu. huyo ni mke wako siyo mke wa wazazi. Kuanzia sasa akianza kupiga makelele yake wewe huongei bali unamtandika kibao cha ghafla na cha maana. nakuhakikishia hatorudia kuongea na atakaa na wewe akiwa na adabu.
Hii ishu bado haijapoa na ndio maana nimeleta thread nikitoka hapo nahamia kwa wazazi huyu anaondoka walahi
 
Its not too late to start over maamuzi nitakayochukua tusilaumiane
weka akilini ukimfukuza ataenda mahakamani mgawane mali. ulisema mlikuwa wote kuanzia ukiwa na chumba kimoja mpaka sasa hivi maisha yamekaa kwenye mstari. Mahakamani ndiyo utalia ndugu yangu utaona kila aina ya rangi na utakonda.
 
Ni mtazamo wako, unaweza usibet na ukawa mlevi unaweza usiwe mlevi ukawa mzinzi kila mtu ana starehe yake
kwani ni lazima ajue una bet ? mbona wewe hujui hela ya kusuka anaitumiaje ? Ungekuwa una kunywa pombe mkeo angekuwa anajua baa kule umekunywa bia ngapi? kama angejua basi jaribu kubadili mwenendo wako.
 
Aisee ni kama umekopi maisha yangu Yaani Hawa viumbe sijui wana nini Yaani drama zote anazokuonesha ww na mimi wangu ni ivo ivo kwa kweli wanawake ni kazi sana kuishi nao
Pole sana
kwani ni lazima ajue una bet ? mbona wewe hujui hela ya kusuka anaitumiaje ? Ungekuwa una kunywa pombe mkeo angekuwa anajua baa kule umekunywa bia ngapi? kama angejua basi jaribu kubadili mwenendo wako.
sio lazima ila kumbuka tumetoka mbali hivyo haikwepeki yeye kujua
 
Pole Ila maumivu huja Zaidi akikwambia amechoka anataka kulala alafu unataka mzigo asee akili inavuruga kabisa
 
Ndoa sio kwa ajili ya wanaume dhaifu, huyo unatakiwa umtawale na sometimes unamchenjia unamuwashia moto ili next time akome ujinga asirudie, kakudharau ndo maana hana adabu anaongea lolote linalomjia mdomoni
Huyo mwanamke Hana adabu kweli mkuu
 
Wazee wa round 3 kila dk45 plus km kawaida yetu tuyaache haya
ila kilele chenyewe mkuu akifika tu na usingizi mzito juu yake na akishtuka anasahau hta km alikuomba Hela Ila hiki labda kilikuwa kilele cha matatizo yake ya vikoba +kaushadamu pamoja na muha
 
Lakini hizo changamoto unazichukuliaje ? Naona ni mambo ya kawaida sana kama mpaka alikuwa anakusaidia....Baadhi ya mambo jirekebishe sio unabet kama mwendawazimu ,fanya iwe siri kama hauwezi kuacha ..
 
Neno kususa maana yake ni 'kuzira'!

Je alikuwa anazira kweli na alikuwa akizira nini?

Ama neno kususa umelitumia kwa kumaanisha 'kununa'?

Majibu ya namna hiyo hayawezi kutolewa na mwanamke mwenye nidhamu zake kwa mume.

Kilichobaki ni maamuzi yako tu.

Na kama unaona haya ama aibu kumuondoa, niite nisimamie zoezi la kumfukuza mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…