Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Malezi bora ya wazazi kumpa mtoto si kigezo pekee cha kukiamini asilimia zote kwamba yatamfanya awe muadilifu na muaminifu.Kuna watu/watoto wanazaliwa na asili ya ukichaa na utukutu tu.wazazi tujitahidi malezi yawe bora kwa mtoto alielelewa vyema hawezi fanya mambo waliyofnya hao..... wao walifanya kwa mengi ikiwemo kutaka kuwa kwenye vichwa vya habari mitandaoni lakini kuna mambo sio mazuri hata likikukuta ukawa kwenye vichwa vya habari bado ni aibu..... mitandao inatuponza sana na kutowafundisha matumizi sahihi ya mitandao changamoto ndipo inapoanzia
Huyu excuse yake ina mashiko,alikuwa kwenye foolish age,and now she is grown up.Jokate alikuwa na ana picha nyingi tu za uchi mitandaoni na bado akaukwaa uDC na vyeo vingne vikafuata
hakana maajabu ya kukalipia milion tano, unaweza jitia kiherehere ukakuta matundu yote yako waziUnaweza ukamuwekea dhamana halafu ukakafungia ndani kaanze kulipa dhamana taratibu...
View attachment 3351585
Angewatuma hata mashemeji kina dotto magariYani Mwijaku aende kumdhamini tena ili jamii iendelee kumsema, Sasa hivi Mwijaku mwenyewe anaishi kwa hofu anahisi anaweza kuunganishwa.
22yrs ni wadogo sana kuanza mikiki ya mapenzi,hapo ukianza kufikiria gharama ulizomsomeshea mishule yetu ya kizungu lazima moyo ukuume sana......Kwa wazazi inaumiza.
Katakupa UTI bure HakoUnaweza ukamuwekea dhamana halafu ukakafungia ndani kaanze kulipa dhamana taratibu...
View attachment 3351585
Inasemekana wawiliKawala hao wote?.
malezi ni kama tiba inayokuja kutibu hicho unachosema ukichaa na utukutu.... na malezi sio ya jamii ni yako binafsi usiangalie mtoto wa fulani analelewaje na ww ukalea wako hivyo ni kupotea.....Malezi bora ya wazazi kumpa mtoto si kigezo pekee cha kukiamini asilimia zote kwamba yatamfanya awe muadilifu na muaminifu.Kuna watu/watoto wanazaliwa na asili ya ukichaa na utukutu tu.
Kwahiyo hata akipigwa faini peke yake, chuo ndo basi tena, na ndo basi tena yenyewe ni kwa sababu ya Mwijaku!!Mwanafunzi huyo Mary Gervas Matogolo (22), mwanafunzi wa
Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, leo Mei 30, 2025.
Sitaki kumtolea mtu mfano.Mimi nimelelewa kistaarabu sana lakini kuna kipindi huwa nakuwa hata akili zangu sizielewielewi.Naweza nikafanya kibweka hadi wewe mtazamaji ukakimbia kwa aibu na hofu.Sasa hapo wazazi/malezi yanahusika vipi na ujingaujinga wangu?🫸🫷😜malezi ni kama tiba inayokuja kutibu hicho unachosema ukichaa na utukutu.... na malezi sio ya jamii ni yako binafsi usiangalie mtoto wa fulani analelewaje na ww ukalea wako hivyo ni kupotea.....
Hata kama asingekuwa chawa bado hana kosa lolote! Upumbavu zaidi kwao hao mabinti, ina maana chuo ndo basi tena labda wakishamaliza visanga vyao wakaombe upya, most likely under private sponsorship!Hii kesi imekula kwa hao mabinti
Mwijak ashawazibua mtr wote hao na tena chawa wa mbogamboga utamwambia nn!
Ova
ukiona hivyo basi jipige kifua sikitika sana, lia machozi ukisema wazazi wangu hawakujua malezi boraSitaki kumtolea mtu mfano.Mimi nimelelewa kistaarabu sana lakini kuna kipindi huwa nakuwa hata akili zangu sizielewielewi.Naweza nikafanya kibweka hadi wewe mtazamaji ukakimbia kwa aibu na hofu.Sasa hapo wazazi/malezi yanahusika vipi na ujingaujinga wangu?🫸🫷😜
Shauri yako.Nipo very proud na jeuri.ukiona holivyo basi jipoge kifua sikotika sana n lia machozi ukisema wazazi wangu hawakukua malezi bora
poleShauri yako.Nipo very proud na jeuri.
Mabinti wapuuzi kweliAnauza mashavu Idodomya.
NomaHata kama asingekuwa chawa bado hana kosa lolote! Upumbavu zaidi kwao hao mabinti, ina maana chuo ndo basi tena labda wakishamaliza visanga vyao wakaombe upya, most likely under private sponsorship!
Unasomesha mtoto ili baadae aje kuwa msaada kwako?? Karne hii???True hasa mmejinyima asome aje awaokoe
Kesi anayo kwa mkewe. Ni kosa kuzini na wanafunzi wa chuo ukiwa na mke.Mwijaku hana kesi na hawezi kuwa na kesi, kutembea na mwanafunzi wa chuo sio kosa kisheria.
Acha kuwadhalilisha ng'ombe na hoa watoto wapuuzi. Bora hata ng'ombe atakupa maziwa na pesa .Mzazi alijua ameuza ng’ombe kusomesha mtoto kumbe kasomesha ng’ombe mwingine