Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

Hamna mistake mbaya hasa kuithaminisha ngono kwa hela na ndio maana mapenzi siku hizi yamekosa maana kabisa.

Mabinti wanaforce wapate wenye hela na wapo tayari hata kuharibu ndoa ya mwanamke mwenzake kwa kutembea na mme wa mtu.Ukija kwa vijana wa kiume siku hizi kuna wimbi la vijana wanaodate na mishangazi ili mradi wapate fedha na hata kijana akitaka kuoa nae analenga (mwanamke mwenye fedha).Wazazi nao nyumbani kila siku wanawambia vijana wao tuletee mtu wa maana,huyo wa maana sio eti mtulivu, mwenye heshima au mcha Mungu bali ni mtu wenye fedha.

So sababu ya fedha mapenzi siku hizi hayana maana, ndio maana uvumilivu hamna na badhi ya ndoa nyingi za siku hizi zimepoteza maana.
 
I never heard nonsense and stupidity word before than yours.

Your are very uncivilized person to exist in the world.
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.

Choo mlangoni wameweka gunia au khanga

Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.

Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.

Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.

Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.

Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa

Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu
 
raha si kuoa binti wa rais, je ni pisi ya kiwango cha international au ni kama wengine tu,,,,!!!

Je ni mke wa ndoto zako,,,????

halafu urais wenyewe una ukomo after fixed years she will not be a president's daughter!!!

Mtoa mada ni chizi!!!!
 
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.

Choo mlangoni wameweka gunia au khanga

Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.

Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.

Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.

Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.

Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa

Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu
Msimamo wangu bado tu utaendelea kuwa ni ule ule wa Kuwabandua bila Huruma kila ninapopata hiyo bahati Kwao.
 
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.

Choo mlangoni wameweka gunia au khanga

Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.

Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.

Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.

Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.

Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa

Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu
Sema wee ndo umeoa ili usije hauna mke . Pia soo sawa kutujuisha watu usiowafahamu
 
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.

Choo mlangoni wameweka gunia au khanga

Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.

Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.

Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.

Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.

Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa

Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu
Akili za VIJANA MARIOO hizi.

Ila kama mwanaume ambaye hupendi kulelewa na wadada huwezi tafuta ganda la ndizi uteleze...
 
Picha tafadhali
1722140537568.jpg
 
Ameoa shida sio raha hujui tu umewahi kuchumbia matajiri wewe mie nimewahi kuwa mtu wa tajiri . Wanakaraha zao sana tu , unyumba zero , wanapenda kukunyanyapa utaona tu wana sign zao , wanakera unaweza kukuta friji imejaa ila njaa huna , ni vituko sana , wanakufanyia kama familia ikishakuwa ijioni usikae nao wewe kula ondoka, nenda chumbani.

Saa ya sherehe lazima muende wote unaburuzwa tu maana huna raha na mume wako, unaingia magari ya kisasa , unakula sehemu zakisasa ila huna raha yamoyo. Ukiwa na wakaida tu ni raha unaenjoy unafurahia kile kidogo alichonacho nao shida ipo hauopo pekee yako . Ndio kero kwa wanaume maskini
Nimekuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom