Hayo ni yako ila wafia chama wanaojulikana humu hawatambui huo uwezo binafsi wala mchango wake baada ya 2015!Kwa taarifa yako, uimara na kukubalika kwa cdm ilikuwa ni uwezo binafsi wa Slaa kujenga hoja. Mbowe alikuwa anatembelea nyota Slaa na ndio maana Slaa kaondoka Mbowe kaishia kuchemsha na kuomba maridhiano yasiyo na kichwa wala miguu. Huyo Mashinji alikuwa takataka kama takataka nyingine.
kwakweli yani sijioni CV zangu zikipata nafasi hata ya kusomwa title tu.CCM asilia kazi tunayo madaraka ni ya wageni safari hii.
Kwani Masters na PhD sio degrees?Ana degree 1, Masters 3, Certificate 2, Diploma 1 na PhD 1.
Awafuate bokoharam waliotaka kumtoa roho? Unatumia kiungo gani kufikiri?mwana wa Tanzania,
Ah! Jamani CCM imezidi uhuni na CHADEMA lazima itakuwa na matatizo. Ukitoa tume uhuru pia kuna haja ya kuwa na wagombea binafsi/huru. Tukiendelea kupeana surprise kama hizi sitashangaa kusikia TL kahamia CCM.
Mbowe ndie kamshtukia [emoji3][emoji3]. Hivi unajua hata huyo mwenye nyumba yupo kwa maslahi yao.mwana wa Tanzania, Huyu tangu mwanzo hakuwa mpinzani. Kipindi chake cha ukatibu mkuu aliiua Chademakabisa. Kumbe alikuwepo pale kimkakati. Mbowe hongera kumshtukia huyu bwana.. Karibu una maliza maotea shambani. Chama kibaki safi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.
Atuombe radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama hujui siasa ndio unaweza kusema hivyo. Lowassa alete wabunge wengi kwa kupanda jukwaani na kuongea dakika 2 kwa kusema "Elimu, elimu, elimu? Je, angeweza kuongea nusu saa si angekuwa rais wa Afrika mashariki kabisa. Kwa taarifa yako Lowassa aliikuta CHADEMA ikiwa bora kuliko maelezo, na hata kitambulisho cha kura kiliitwa kichinjio kwani watu walijua Lowassa atapitishwa na CCM.
Ni bahati tu watu walikuwa wanaikubali sana cdm kiasi kwamba hata Mbowe alipofanya upuuzi wa kubadili gia angani bado watu wengi waliopata kura CHADEMA. Usitoke kupotosha ukweli. Kama wabunge wengi waliletwa cdm na Lowassa akiwa na miezi miwili kabla ya uchaguzi, tuonyeshe alifungua matawi mangapi ya CHADEMA baada ya uchaguzi.
Acha uongo hakuna intelejensia pale, kile chama kama makanisa ya kiroho kila ajae anaonekana ni miongoni mwao hata kama ana nia tofauti na yenu.Intelijensia ya Chadema ni kubwa,mno huyu angekiumiza chama ikiwa angepata uongozi.
Sasa kaemda,kama mchezaji huru.
Sent using Jamii Forums mobile app