Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Hizi siasa za kiafrika hazihitaji akili la sivyo tusingekuwa hivi na wenye akili wasingekuwa wanazikimbia.Awafuate bokoharam waliotaka kumtoa roho? Unatumia kiungo gani kufikiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini KANU wote wamerudi madarakani kwa mwavuli wa Jubilee. Hadi majuzi Moi alikuwa anatoa ushauri Nchi iendeshwe vipi. Sasa sielewi kama tunahitaji chama tofauti awa wanasiasa tofauti.CHADEMA haiwezi kuzuia watu kununuliwa ama kujiuza , hii si kazi yetu , bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba kabla KANU ya Kenya haijafa na kuzikwa , ilifanya kama inavyofanya CCM, ilinunua kila imtakaye akiwemo Raila Odinga aliyepewa Ukatibu Mkuu.
Kwa mwanasiasa timing no kitu muhimu sana kwenye maamuzi. Dr Mashinji angefanya maamuzi haya akiwa madarakani Chadema yangekuwa na maana sana. Leo ni sawa na MTU mwingine yeyote mtaani kujiunga na CCMAliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kahamia CCM leo.
Hii ingekuwa ina maana kama hata hayo magugu yenye yanatambulika.Ni kawaida ya bahari kutoa uchafu.Magugu uharibu mazao ili liwe safi ni lzm magugu yote yatolewe
Ndo kuimarika kwa chama!
Alisikika mlevi mmoja akipita barabarani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni swali fikirishi!mwana wa Tanzania,
Kwahiyo ile Kesi yake iliyokuwa ikimkabili Yeye na Viongozi (Wabunge) wa CHADEMA atakuwa ameshanusurika nayo au atakuwa akiendelea Kuihudhuria huku akiwa amevalia Sare ya Chama chake Kipya?
Kabisanjaa haina 'baunsa'
Mkuu, pigia mstari nipaone nilipomkejeli mtu.Kuhama chama ni haki ya msingi ya kila mtu kikatiba, ndiyo maana Tundu Lissu alihama kutoka NCCR Mageuzi na kwenda Chadema, Zitto alihama kutoka Chadema na kwenda ACT, Sumaye na Lowasa walihama kutoka CCM na kwenda Chadema na baadaye wamerudi tena CCM, Nyarandu alihama CCM na kwenda Chadema, Maalimu Seif alihama CCM na kwenda CUF na baadaye ACT.
Huo ndio ukomavu wa demokrasia, unaamua uwe chama gani kwa ridhaa yako. Mtu anapohama chama hutakiwi kumkejeri na kumtukana ni haki yake kikatiba na hiyo ndiyo demokrsia tunayoitaka kila siku na kuihubiri.
Ibaki na Vyama vingine,.Kwani Sheria Ya Vyama Vya Siasa
Vipoanzishwa 1992 Inasema Nini?
Inataka Ccm Ibaki Yenyewe Ama Na Vyama Vingine
Kwa kukusaidia japo sina upande wa kivyama, ni kwamba ikitokea CCM ikashinda nafasi ya uraisi kwa mara nyingine basi watu wengi waliopo na waliokuja kuunga juhudi hawataweza kulala na njaa, nikimaanisha kuna nafasi nyingi sana za uteuzi unaomtegemea raisi na wengineo waliopo kwenye mfumo, hivyo kila mmoja anaweza akapata nafasi na bado zikabaki. fikiria nafasi za uteuzi alizonazo raisi then fikiri ni nani atakosa.Hawa Sasa wanaenda sababisha vita huko wanakoenda. Kuna watu wamekuwa wazalendo ndani ya chama chao, wanakuja mamluki na kubeba nyadhifa mbalimbali ilhali wao wanaendelea kubakia na uvuvuzela wao.
Huku sasa siyo kuunga Juhudi bali ni kutafuta Maslahi....!!