Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,768
Kweli kabisa mkuu! hawa watu bado wana mawazo ya kizamani sana,wanafikili upinzani ni kwa kina chadema tu,wanasahau kuwa ni mtu kutowaza kama unavyowaza weww ,yaani wote tuwaze ,tufanye kama unavyotaka wewe.Juzi tumeshuhudia Wamalawi wakienda ofisini kwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wakimshinikiza ajihuzuru,walifanikiwa kuzifunga ofisi za tume kwa makufuli yao huku wakisindikizwa na na Wanajeshi wa Nchi yao.Upinzani sio viongozi,upinzani ni Kila mmoja kuliona Jambo kwa angle yake,hata ndani ya CCM Kuna wapinzani.upinzani ni hoja.
Endelea kuota hahahahahahahHali hii itaendelea weeeee mpaka itafikia chuki kubwa miongoni mwa CCM na CHADEMA, ikifikia hapo sasa yeyote atakaetoka CHADEMA kwenda CCM ataonekana msaliti mkubwa atatengwa na Jamii hawatoshirikiana nae kwenye maziko ama kwenye furaha, hapo sasa tutashuhudia upinzani wa kweli na ukombozi utakuwa umekaribia.
mwana wa Tanzania,
Kwahiyo ile Kesi yake iliyokuwa ikimkabili Yeye na Viongozi (Wabunge) wa CHADEMA atakuwa ameshanusurika nayo au atakuwa akiendelea Kuihudhuria huku akiwa amevalia Sare ya Chama chake Kipya?
Atakutwa hana hatiaTukumbushane kuwa ana kesi ya uchochezi pale Kisutu.
CDM wana akili kubwa mno.Doh kwa hiyo leo story ingekuwa Mwenyekiti wa CDM (Mwambe) na Katibu Mkuu CDM (Mashinji) wahamia ccm. Hongera CDM.
Sio mmoja tu kuna kama wanne mkuu.Juzi humu nilisema bado Mashinji leo hii tayari sasa bado mmoja huyu wa ubungo
Huyu jamaa nilimstukiaga siku ya kwanza kujiunga, sijui kwanini wale wote roho yangu iliyowastukia wote wamerudi walipokua.
Ivi yupo kwenye kesi ya Aqulina?
Juzi humu nilisema bado Mashinji leo hii tayari sasa bado mmoja huyu wa ubungo
Slaa Nabii? 😁😁, atakuwa kama Mwamposa au yule wa Miracle MoneyAliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dk.Vincent Mashinji amehamia CCM rasmi hii leo tarehe 18 mwezi wa 2 mwaka 2020.
My take:
Haya mambo ya hamahama yanawaathiri sana Chadema hata kama wanapinga, na unabii wa Dr.Slaa unatimia ndani ya miaka mitano .View attachment 1361492
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mmoja tu kuna kama wanne mkuu.
Kubenea, selasini, Komu, Ahmed Ally
Wenye akili wanaondoka CHADEMA kukimbia udhalilishaji wa kuongozwa kishikaji.
Sasa Hapo Ndiyo Utaona Kuwa Hawa Tunaowaona Wamefikia Upeo Wa Juu Kabisa Wa Elimu, PhDIbaki na Vyama vingine,.
Lakini zipo kauli zinasema zinataka kuua upinzani,na kua kwenyewe ni kuzuia mikutano ya wapinzani kujitangaza,kununua viongozi wa upinzani na kubambikia kesi wapinzani .