Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Makuhani na Mafarisayo waliungwa mkono na Yuda Iskariote ili kumsaliti Yesu na hatimaye kumuua ili kuikomesha movement yake yaani "Ukristo"

Leo Ukristo umeenea Dunia nzima huku Ufarisayo ukiwa umedumaa huko Uyahudi, na Yuda akiwa ameshachimbwa Kama mafuta ya kuendeshea mitambo. So CCM na akina Mashinji hawana jipya.
 
Upinzani sio viongozi,upinzani ni Kila mmoja kuliona Jambo kwa angle yake,hata ndani ya CCM Kuna wapinzani.upinzani ni hoja.
Kweli kabisa mkuu! hawa watu bado wana mawazo ya kizamani sana,wanafikili upinzani ni kwa kina chadema tu,wanasahau kuwa ni mtu kutowaza kama unavyowaza weww ,yaani wote tuwaze ,tufanye kama unavyotaka wewe.Juzi tumeshuhudia Wamalawi wakienda ofisini kwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wakimshinikiza ajihuzuru,walifanikiwa kuzifunga ofisi za tume kwa makufuli yao huku wakisindikizwa na na Wanajeshi wa Nchi yao.
 
Hali hii itaendelea weeeee mpaka itafikia chuki kubwa miongoni mwa CCM na CHADEMA, ikifikia hapo sasa yeyote atakaetoka CHADEMA kwenda CCM ataonekana msaliti mkubwa atatengwa na Jamii hawatoshirikiana nae kwenye maziko ama kwenye furaha, hapo sasa tutashuhudia upinzani wa kweli na ukombozi utakuwa umekaribia.
Endelea kuota hahahahahahah

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Wanakuja kujimaliza kwani huku kwetu Ccm tutaanza kutoka kwani kila anayekuja anapewa frasa za nafasi huku tuliopigania chama 2015 tukiachwa kuwa watazamaji tu.

Naamini muda si mrefu tutashughudia ktk nafasi za Ubunge na Udiwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hila na vituko vya shetani kamwe havitaweza kuyumbisha watu wa Mungu na kamwe hataweza kuwashinda kamwe!
 
Itikadi ni Imani kamili inayoishi Rohoni kama zilivyo Imani nyingine zinazoishi Rohoni mwetu. Ndo maana umoja was kitaifa haupo kwa ajili ya hizi Itikadi kwa hiyo kila chama kina Watu wake ambao wako tayari kuwa kwenye vyama vyao kwa njia yoyote ile hata angeondoka nani ndani ya chama.

Na ukilijua hili hutapata shida na Mtu mmoja anayeondoka kwenye chama A kwenda chama B inaweza akaenda peke yake au na Familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dk.Vincent Mashinji amehamia CCM rasmi hii leo tarehe 18 mwezi wa 2 mwaka 2020.

My take:
Haya mambo ya hamahama yanawaathiri sana Chadema hata kama wanapinga, na unabii wa Dr.Slaa unatimia ndani ya miaka mitano .View attachment 1361492

Sent using Jamii Forums mobile app
Slaa Nabii? 😁😁, atakuwa kama Mwamposa au yule wa Miracle Money
 
Ibaki na Vyama vingine,.
Lakini zipo kauli zinasema zinataka kuua upinzani,na kua kwenyewe ni kuzuia mikutano ya wapinzani kujitangaza,kununua viongozi wa upinzani na kubambikia kesi wapinzani .
Sasa Hapo Ndiyo Utaona Kuwa Hawa Tunaowaona Wamefikia Upeo Wa Juu Kabisa Wa Elimu, PhD
Nao Ni Tatizo Kwenye Suala La Uendeshaji Wa Tanzania.

Yaani Watu Na Tuna Makabila Mbalimbali
Na Vyama Vya Siasa Hivyo Hivyo
Watu Endapo Wananunuliwa Na Wanakubali Ujue Siasa Zimeisha Upande Ule Mwingine
 
Back
Top Bottom