Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Njaa haijawahi kumuacha mtu salama
Unafikiri hana njaa huyo jamaa.

Kule alikuwa kwa special task anarudi kupeleka reports ndio wakome CHADEMA kuparamia watu wasiowajua.

Nakukumbusha ishu ya Dr Ulimboka, unaikumbuka? Ila ili tuliache tutaongelea baadae ila CHADEMA inaenda kuwa TLP soon.
 
Mku Mbowe hawezi kulaumiwa kwani ni mwandaji was vipaji ndo maana kila anayekuja kwetu Ccm anapokelewa kama Mfalme yaani wanaonekana ni Watu wenye hadhi zaidi ya wanaowapokea kwani angali sura za wapokeaji kama vile hawaamini ndani ya macho yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndugu yangu kilama sasa hapo analiwa nani?
hivi huoni kuwa hapo ni KODI zetu zinakwenda kuliwa ?
 
Wewe unahisi kanunuliwa? Karaghabao ilikuwa special task force kule CHADEMA.
 
Niliwahi kusema na haijanishtua. Bado yule mmasai wa "To Be Is To Do". Hakukuwa na wapinzani hapa.
 
Sasa aenda sema siri zote cha CHADEMA aka Saccos ya Mtei group.***** dhambi ya kubadili gia angani na kumtoa Dr Slaa itawaandama sana.
Kweli dada hiki chama kitajikuta kila baada ya uchaguzi wanaanza upya.Maneno aliyotoa Dr slaa pale Serena hotel itawatesa chadema miaka yote.
 
Unafikiri hana njaa huyo jamaa.

Kule alikuwa kwa special task anarudi kupeleka reports ndio wakome CDM kuparamia watu wasiowajua.

Nakukumbusha ishu ya Dr Ulimboka, unaikumbuka? Ila ili tuliache tutaongelea baadae ila CHADEMA inaenda kuwa TLP soon.
Sijuhi mnatumiaga vigezo gani? Hivi unaamini waTanzania wote ni MACCM au waunga mkono hoja?
au unataka kuniambia Ni cham kipi kitabaki kuwasemea watanzania?

Ukweli ni kuw ampango w akitambo wa kufanya CHADEMA ipite njia hiyo, ila umeshindika sikuzote kwani mfumo uliopo CHADEMA ni tofauti na vyma vingine vilivyowahi kufa.
 
Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa. Na hili mbowe mwenyewe kalikiri naomba tumsamehe tugange yajayo
 
Hongera Mh. Mbowe na timu yako kwa kuwagundua mapema hao wataka vyeo.

Sasa imarisha chama na Wanachama wa ukweli.

Kama mnaona Kuna mamluki wengine toeni ili kwamba chama kibaki na Watu imara.
 

My point ni kuwa lowasa alikuwa na wafuasi wake wengi tu ambao baada ya yy kuhama wakamfuata huko alikoenda na hao wafuasi wake ndio walifanya chadema ipate kura nyingi 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…