misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Unafikiri hana njaa huyo jamaa.Njaa haijawahi kumuacha mtu salama
Kule alikuwa kwa special task anarudi kupeleka reports ndio wakome CHADEMA kuparamia watu wasiowajua.
Nakukumbusha ishu ya Dr Ulimboka, unaikumbuka? Ila ili tuliache tutaongelea baadae ila CHADEMA inaenda kuwa TLP soon.