Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia 💯Kwa taarifa yako, uimara na kukubalika kwa CHADEMA ilikuwa ni uwezo binafsi wa Slaa kujenga hoja. Mbowe alikuwa anatembelea nyota Slaa na ndio maana Slaa kaondoka Mbowe kaishia kuchemsha na kuomba maridhiano yasiyo na kichwa wala miguu. Huyo Mashinji alikuwa takataka kama takataka nyingine.
Nakuunga mkono
Uoni kuondoka kwa Slaa uwawishi wa CHADEMA kupungua?Slaa alikua na nguvu Sana Chamani,lakini alivyoondoka alindoka na mke wake tu,Zito alikua Ana NGUVU Sana Chamani kwa kweli alivyoondoka alindoka na vikundi vya watu, lakini cha kushangaza CHADEMA imeendelea kuwepo,ukimya huu wa CHADEMA ni ukimwa wa kuwekewa minyororo miguuni,wakitaka kujua Kama ukimya huu ni wa kifo, wafungue hiyo minyororo.
Je, Mashinji atahudhuria ile kesi inayomhusuu na viongozi wengine wa CHADEMA?