MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Alivuliwa au muda wake ulifika kikomo kikatiba?ulitakiwa uniulize kwanini Mashinji alivuliwa ukatibu Mkuu ?
Kubenea hawezi kwenda kabla ya 30Anafuata Kubenea.
Kiukweli mtu aliyesomea MD halafu anakuja kufanya masters ya PR na alikuwa na PR mbovu vile, huyu mwacheni aende tuu, ana very impressive CV lakini delivery ni bure kabisa!.2008 - 2010 Evin School of Management (Shahada ya Uzamili (Masters) ya Public Relations (CSR)
feyzal,
Wabunge wengi mliokua nao leo ni kwa ajili ya Lowasa.
Mbowe sio mjinga alishatambua hilo,hasa pale vikaragosi tokea chama kingine walikuwa wanataka eti Mbowe angatuke kisa hanunuliki.
Kumbuka Chadema sio lelemama.
Ila Uenyekiti wa Mbowe hauna kikomo kikatiba. Teh teh teh.
Hayo tuliyazungumza kitambo tokea 2015Kwa akili hizi na haya yanayoendelea, sidhani hata kuna haja ya kuwa na multiparty system nchi hii. Inavyoonekana ni kuwa upinzani nchi hii umejaa mamluki wengi toka CCM.
Ni upumbavu wa hali ya juu kudhani kuwa hawa wanasiasa tunaowaamini kuna siku watalivusha hili taifa, everyone is fighting really hard to feed himself.
Nilishasema,2020 chadema akipata 5 MPs ajatambike,chama cha ajabu sana hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaotaka viti maalum wanaondoka CHADEMA kwenda CCM kwenye takrima ya vyeo.Wenye akili wanaondoka CHADEMA kukimbia udhalilishaji wa kuongozwa kishikaji.