Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aiseeeee!! siasa weka mbali watu wenye akili timamu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]nahisi ili uwe mbobevu kwenye ushabiki wa siasa lazima uwe na akili fyatu. Haya wafia siasa na vyama mkuje kutoa povu huku.
 
Wenye akili wanaondoka CHADEMA kukimbia udhalilishaji wa kuongozwa kishikaji.

Katika vitu vilinifurahisha ni Lowassa na Sumaye kurudi CCM, na leo furaha yangu imezidi marudufu baada ya kusikia huyu domo zege naye kahamia CCM.

Nitafurahi kama Mbowe naye ataachia uwenyekiti wa CHADEMA, maana yeye ndio alileta hizi taka ngumu ndani ya CHADEMA.
 
Paukwa pakawa alitokea chinjagaa kajenga nyumba kakaa mwanangu mwanasiti...kijino kama chikichi
Hadithi njoo......na hapo tusubiri bunge livunjwe na mchakato wa uchaguzi uanze..
Najua kuna ccm originol na ccm academia....patachimbika
 
Looh! Hawa watu mpaka wanatia huruma.

huyu huyu ambaye ndiye aliandaa sera za Chadema, leo anaongea nini?
 
mwana wa Tanzania,
Katumia haki yake kikatiba, hakuna wa kumzuia.

Inaonesha kuwa vyama pinzani vina hazina ya viongozi na ndiyo maana wengi wakiiingia ccm wanapewa nafasi mapema kuliko walioifia ccm.
 
siasa ni kama mwanamke changudoa..leo upo naye kesho kwa rafiki yako....dont trust politician....ni masnitch wa daraja la kwanza....

CDM -patriot ni Mbowe peke yake ..hao wengine ni mbwa koko...
 
feyzal,
Kula tano mwanangu, hili suala kuwa Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm wala halina mjadala. Yeye ndio hasa chanzo cha kupokea hizo takataka na kuzipa madaraka.
 
Ukiwa na akili utajiuliza, watu wooote wakitusapoti, nini kinafuata? Kama pori looote wamejaa fisi, nani ataliwa nyama? Hawa mabeberu hawa. Daaa
 
Back
Top Bottom