Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana kaz sana
Nilishasema,2020 chadema akipata 5 MPs ajatambike,chama cha ajabu sana hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye akili wanaondoka CHADEMA kukimbia udhalilishaji wa kuongozwa kishikaji.
CCM sio Chama cha MwanachamaUtashangaa
Ccm itakumbana na dhahama kwenye kupigania majimbo
Wakuja Vs waliokipigania chama
Tutawaona
Hao wala sitawashangaa.