Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Ningekua Makonda, sasa hivi ningekua nimeshakimbia nchi, nachagua nchi yenye vurugu Kama Afganistani , Centra africa republic au Mali.
Tutamfuata popote atakapokwenda. Kifo tu ndiyo kinaweza kumuokoa kukutana na mkono wa sheria
 
Clouds ndiyo inabidi wakafungue kesi, sijui Kwa nini Hadi Leo wanashangaa shangaa
hahaha ulitaka waishie kutekwa,kufisilisiwa, kupotea bila kujulikana etc labda sasa hivi wana chance ya kuweza kushtaki, kusikilizwa na kuwa salama, ile nchi dadeki sijui ilikuwa inaelekea wapi
 
Sasa si ukafungue kesi.
 
'Sauti za watu ni sauti ya Mungu'

Sabaya amepata haki yake baada ya watu kupiga kelele sana(haswa hapa JF).
Kama huyu raisi tuliye naye ndiye yule yule tuliyeanza naye baada ya kifo cha Magufuli, basi ni suala la muda tu Makonda naye hatapunjwa.
 
Uzuri jinai haifi mpaka haki itendeke,hata baada ya kifo cha Makonda anaweza kushtakiwa tu.Ipo siku Makonda atakumbana na mkono wa sheria.Hata Magufuli,inabidi naye haki itendeke maana alifanya maovu mengi na utetezi wa Sabaya umethibitisha hilo.
 
'Sauti za watu ni sauti ya Mungu'

Sabaya amepata haki yake baada ya watu kupiga kelele sana(haswa hapa JF).
Kama huyu raisi tuliye naye ndiye yule yule tuliyeanza naye baada ya kifo cha Magufuli, basi ni suala la muda tu Makonda naye hatapunjwa.
Kashabadilisha ushungi.
 
Naunga mkono hoja.
 
Ni hadi hao wahanga waamue kwenda kufungua kesi mfano kama clouds walivamiwa na silaha badae wakasemehe wale wangeamua ndo wangemsokota vizuri
 
Tukiwa nchi ya visasi hatutafika, vijana walikuwa hawajui maadili ya uongozi, sasa naona akili kichwani

Kila walichokifanya walikua wanaelewa makonda kaumiza sana watu kwa jina la taskforce hawafai hata kidogo hao akina makonda na the like hadi muda huu wanatakiwa kua wapo jela
 
Tena huyu ndie ananuka damu haswaa!
Ila laana ya damu zile itaambatana nae na vitoto vyake hadi kiyama!
 
Mambo aliyofanya BASHITE ni ya kutisha kuliko SABAYA na Sabaya Mentor wake ni DAB na alishawahi kumwambia bwana SWAI kwamba atoe kwa hiyari au atumie MAKONDA STYLE??
 
Tulitarajia Media kubwa kama Clouds mtende haki, muende kumshtaki makonda au bashite kwa uvamivi wa kituo chenu na kusababisha taharuki maana pale haikua uwanja wa vita ilikua ofisini.
Lazima kila mmoja avune alichopanda wala hakuna kuoneana aibu, ni muhimu kuzingatia hilo kwanza ili kutenda haki.
Huyu makonda kaumiza wengi ikiwa ni pamoja nawkubambikia watu kesi za madawa ya kulevya, kuteka watu, kuua na kunyang’anya mali za watu wengine.
Lazima sheria ichukue mkondo wake.

Hapo akiingia kuvamia kituo cha habari cha clouds usiku wa manane.
 
Nchi hii kama haki ikisimama, viongozi wengi wa zamani na waliopo madarakani unaweza waburuza kwa pilato...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…