Blaa bkaaa Tena unaandika
 
nimeweka link hapo juu
alikamatwa na akakili kabisa mwaka jana mwezi wa 5 lakini wananchi wanashangaa yupo bado mtaani
Hawa majambazi kuwepo mtaani wakitokea polisi limekuwa jambo linalosikIka sana Tanzania.

Aidha kuna "loopholes" nyingi kwenye sheria zetu za jinai au wanaowawachia ni chama kimoja.
 
Huyu Ally, mbona nikimtizama nikama ana Tatizo la Akili?.


Dunia Kwa Sasa imeshindwa kabisa kutoa muda wa kujali wenye uhitaji .
 
Ukifuatilia historia vizuri utakuta huyo dogo kuna mahali ALIONEWA au ALIDHULUMIWA akiwa mdogo!

Tena kuna majitu mengine ni MAOVU kuliko huyo dogo lakini yapo humu yanashabikia.

Majizi na Machawi yamejificha yanakenua tu. Bila kusahau WAFIRAJI na WABAKAJI.
 
Dogo alikua katili sana aisee kwa idadi ya watu alioua na alikua anaua yeyote tuu Wananchi wamepumzika hayo maeneo ya Unga limited na Ngarenaro...
Huyu hakuwa sawa, kuna mahali ALIONEWA. Tena ALIONEWA SANA, ndio maana akageuka kuwa KATILI SANA.

Watu wanaweza kumbadilisha MALAIKA kuwa IBILISI.

Drink your own POISON, tena angewapiga mabisu ya kutosha, HAMJITAMBUI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…