Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Huyu jamaa hana mvuto wowote kisiasa...suala la bandari wananchi wameshapaza sauti ..kwa level yake hana influence...Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema...
Huyo mlevi mkoa wa Dar es Salaam umeshinda hadi akahurumiwa kupelekwa huko kwani stahili yake ilikuwa kupigwa chini tu.Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema...
Kama paka wa hoteliniNimeliona na mimashavu yake[emoji55]
Huyu anatakiwa kufunguliwa kesi binafsi. Hajui wenzake huwa wanajificha nyuma ya kinga kuwa ni wabunge na wanazungumza wakiwa Bungeni.Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema...
Unaweza kukuta anamsema kijanja kwa kumtumia MboweKatika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema...
Kumbe huyo mlevi mbwa hajui hata ruzuku ya vyama inalipwaje,anafikiri alipewa mkononi na Samia? Kwanza anamkosea heshima Rais kuwa anagawa hela ya serikali kinyemela. Ruzuku inalipwa kwenye account ya chamaKatika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:
"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".
Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.
Chanzo: TBC1
Ninyi fanyweni mazuzu tu....mwenzenu kakunja "bilioni 2" mfukoni mwake [emoji1787][emoji1787]Hakuna jitu pumbavu na la hovyo kama makala
Huko Mwanza jiandaeni kuunguza masoko
Bilioni 2 mwamba kama mwamba kakunja mfukoni mwake....Swala la Bandari linahusiana vipi kuchukua Billion 2 au ndo chuki Binafsi