Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chawa Makalla bhana !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenu na nani?!Haya endeleeni kumpaka kinyesi huyo Hangaya wenu.
Hapa hatuongelei huo ukuwadi wake.....huna ushahidi juu ya hilo...makala jinga jinga, magu alimpiga chini aliona kubwa jinga....alichoka hadi alikuwa anakula msosi magengeni kihonda..sasa analeta kidomodomo....sifa yake kubwa ni kowadi wa kutafutia mademu wazee wa chama ndio ilyomtoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mchaga mbele ya pesa ni balaa [emoji1787][emoji1787]
mtakosana bureee
Billioni 2 sio masihara
Mwamba tuvushe....Kajivusha mwenyewe....bilioni 2 zimemvusha "mwamba" tuvushe [emoji1787][emoji1787]Ndiyo huyu huyu alituambia mabadiliki ya Hali ya hewa sio sera ya CCM ni mpango wa MUNGU mabwabwa kukosa maji na CCM haihusiki,tulishangaa!!
Bilioni 2 zimemvusha "mwamba tuvushe"....Makala acha upuuzi wewe nchi inapigwa mnada wewe unaleta mzaha
Mashavu utafikiri anatafuna mchele mbichi.Nimeliona na mimashavu yake
Sawa.....Mkuu.wa mkoa sio mwanasiasa ni kiongozi wa serikali
Alitakiwa kumpa Raisi ripoti za utendaji kazi mkoani mwake, maendeleo yaliyofanyika changamoto za mkoa zinazohitaji ufumbuzi wa Raisi
Sio hizo porojo zake za akina Mbowe hizo aachie viongozi wa CCM na jumuiya zake Mwanza na wilaya zake
Mimi ni CCM kada damu damu.Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".
Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.
Chanzo: TBC1
Kwa hiyo huo wizi wa Mbowe fidia yake ni mikataba mibovu?Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".
Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.
Chanzo: TBC1
Gutter politicsRais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".
Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.
Chanzo: TBC1
Mkuu kituo cha kuanzia maandamano kitakuwa wapi mkuu wangu ?!!!Kweli linapofikia suala la Wizi wa mali za Umma, Makada wote wa Chama Tawala huwa wamoja.
Walianzia Bungeni na sasa wateule wa Rais.
Watanzania kuna haja tukaungana kukemea huu Wizi wa hawa Mabwenyenye wanaoshinda Kutwa kula na Kuvaa kwa Kodi zetu.
Walianzia kwenye Ngorongoro, Gesi ya Mtwara, Viwanda vyote kama Urafiki n.k na Sasa wamehamia Kwenye Bandari
Tukiendelea kukaa kimya hawa Watu watakuja kutuuza Watanzania wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]makala jinga jinga, magu alimpiga chini aliona kubwa jinga....alichoka hadi alikuwa anakula msosi magengeni kihonda..sasa analeta kidomodomo....sifa yake kubwa ni kowadi wa kutafutia mademu wazee wa chama ndio ilyomtoa
Mwanza siyo mkoa? Hivi mnafikiri kutumia viungo vipiAisee, ndio walilitimua ukuu wa mkoa