Amos Makalla amshambulia Freeman Mbowe mbele ya Rais Samia
Mh.Amos Makalla yuko sahihi....

Mh.Amos Makala hajazusha.....

Watu wana "data" zake vyema tu....

Ukikaa kwenye NYUMA YA KIOO USIUTAKE UGOMVI WA MAWE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bilioni 2.....ziko MFUKONI KWA MTU

Bilioni 2.....ziko MFUKONI KWA MTU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Erthyrocyte ndio maana haonekani....kwa msukumo wa bilioni 2 yale mashambulizi DHIDI ya mh.Nape mitandaoni yatakuwa "bambam"....

Jamaa wanataka waanzishe maandamano nchi nzima kwa sababu ya hao waarabu wa DP WORLD.....

#Bilioni2ZikoMfukoniMwaMwamba

JASIRI HAACHI ASILI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hii pesa ya walipa kodi ilitolewa na nani? Alimpa Mbowe kama zawadi au?

Mlimpa ili kumfunga mdomo? Poleni ndio ameshalipuka.

Samia ni mzigo kwa hili taifa, hasara kila kona.
 
Huyu alishatemwa, anatafuta relevance kupitia Mbowe [emoji2960]
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
Kati ya wapumbavu 2,jamaa lazima awe wa 1!
Huwezi sema Mbowe alhsli ni WA Tanzania wengi Wana mtazamo huo. Wajinga wengine wameenda mbali zaidi kutaka watu washughulikiwe! Ni upumbavu uliovuka mipaka.
 
Bado hii haitoi majibu ya maswali aliyoibua Mbowe.
 
nyie nyumbu mnajulikana mlivyo mazuzu, kila la hovyo atakalofanya huyo mlevi wenu mpo. Aibu yenu. Acheni mama afanye wonders siyo huyo m/kiti ambaye ameshindwa hata kujenga kaofisi kadogo ndiyo ajenge nchi? Watoto wake wako Marekani nyie mpompo tu km mamburula. Mwacheni mama ajenge uchumi kiwango chake kipo juu sana siyo km nyie mliodumaa akili
Aliye uza bandari siyo Mbowe.Mkataba gani wa muda usio julikana?Huwezi kuwatoa watz kwenye hoja ya msingi.Wala SI Siri katibu mkuu wa wizara mzanzibar waziri mzanzibar Raisi mzanzibar Bandari za Zanzibar haziuzwi com on Unahitaji kuwa mjinga sana au kuwa zuzu kutoa kuelewa hili
 
Mkuu kituo cha kuanzia maandamano kitakuwa wapi mkuu wangu ?!!!

Nakumbuka mwaka 2020....akina Boniphace Jacob walitaka kuanzia pale UBUNGO kusonga mbili....mpaka saa 6 mchana hakuna hata "kamanda" mmoja aliyeonekana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu, huenda wewe utakuwa na Umri kama wangu wa Uzee, ambapo kwa Mujibu wa Vitabu vitakatifu huenda tumebakiwa na miaka 10 au 20 ya kuishi.

Lakini ndiyo uuze Bandari kwa kuwa hatutakuwa hai baada ya miaka hiyo.

Vipi Mzee Nyerere angekuwa na mtazamo huo pia wa kuuza kila kitu, Vijana wetu wangekuta chochote kweli?

Tujaribu kuwafikiria tutakao waacha baada ya sisi kuondoka hapa Duniani
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
Huo. Makalla Kumbe naye ni bure tu. Kwani pesa za Ruzuku zinalipwa kwenye bank account ya Mbowe. Ama kwa kusema hayo anataka kutuambia kuwa kuna watu wamevuta hela lakini siyo kimya kimya kama Mbowe. Wao wameamua kuwa wazi kwa kuhalalisha ulaji wao kupitia Bunge letu..... Seriously!!
 
Nikiwa Rais mavyeo ya ajabu ajabu yote nafutilia mbali,Udc ,Das sijui RAs vyote hadi Bunge pia nalifuta maana sioni wanachofanya
 
nyie nyumbu mnajulikana mlivyo mazuzu, kila la hovyo atakalofanya huyo mlevi wenu mpo. Aibu yenu. Acheni mama afanye wonders siyo huyo m/kiti ambaye ameshindwa hata kujenga kaofisi kadogo ndiyo ajenge nchi? Watoto wake wako Marekani nyie mpompo tu km mamburula. Mwacheni mama ajenge uchumi kiwango chake kipo juu sana siyo km nyie mliodumaa akili
Kama na wewe unauwezo peleka wakwako, au uende mwenyewe hoja ya kuuza bandari na kujenga ofisi au kupeleka watoto marekani vinauhusiano gani? [emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii pesa ya walipa kodi ilitolewa na nani? Alimpa Mbowe kama zawadi au?

Mlimpa ili kumfunga mdomo? Poleni ndio ameshalipuka.

Samia ni mzigo kwa hili taifa, hasara kila kona.
Mbowe alimlazimisha Samia kuwa ni lazima apeleke hizo 2b ili afumbe macho na mdomo,sasa sijui Mbowe naye anataka aongezewe tena? (Makalla ana majibu).
 
Back
Top Bottom