Amos Makalla amshambulia Freeman Mbowe mbele ya Rais Samia
Huko ni kujipendekeza kusiko kuwa na maana yote, mtu juzi tu kakutimua kwa kuona uwezo wako mdogo kushughulika na matatizo ya sehemu aliyokuweka, unapata wapi audacity ya kunyanyua mdomo na kumwambia mtu huyo aliyekutimua kuwa "Fulani ameshindwa kufanya hiki".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
Hakuna mnufaika anayeweza kuikosoa system.., hata ukija mkataba wa kubinafisisha serirkali naamin utapita.
 
“Ukiwa unaongelea kibanzi kilichopo kwenye jicho la ndugu yako na wewe angalia boriti ulilo nalo katika jicho lako, Mheshimiwa Mbowe hata kusema tu kuwa ruzuku tumepata unafanya siri?, Mhe. Rais wewe unapeleka mkataba Bungeni wazi kabisa yeye hata ruzuku hasemi.

“Alisema hatupokei hatupokei lakini bilioni 2.9 ameziweka mfukoni hasemi kwamba ameanza kuzipokea, nani mwenye uwazi kati ya Samia Suluhu na Viongozi wengine, mambo madogo kama haya wanafanya siri wakipewa nchi si itakuwa hatari,” Makalla.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla akizungumza kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo lilifanyika kwenye uwanja wa Red Cross Bujora Kisesa Wilayani Magu mkoani Mwanza.

=====
Pia soma: Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
Kutesa kwa zamu, zamu yake.
 
Basi nae anafurahia kumbe wanazidi kumharibia tu.

Huu ni utamaduni wa ccm kumsifia kiongozi aliyeko madarakani hata kama anaharibu.

Sio jambo jipya kwani hata mtangulizi wake alikua anasifiwa kinafki na watu ambao sasa hivi wamegeuka kumsifia mama
 
Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
Huyo arudi kijiweni
 
“Ukiwa unaongelea kibanzi kilichopo kwenye jicho la ndugu yako na wewe angalia boriti ulilo nalo katika jicho lako, Mheshimiwa Mbowe hata kusema tu kuwa ruzuku tumepata unafanya siri?, Mhe. Rais wewe unapeleka mkataba Bungeni wazi kabisa yeye hata ruzuku hasemi.

“Alisema hatupokei hatupokei lakini bilioni 2.9 ameziweka mfukoni hasemi kwamba ameanza kuzipokea, nani mwenye uwazi kati ya Samia Suluhu na Viongozi wengine, mambo madogo kama haya wanafanya siri wakipewa nchi si itakuwa hatari,” Makalla.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla akizungumza kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo lilifanyika kwenye uwanja wa Red Cross Bujora Kisesa Wilayani Magu mkoani Mwanza.
 
.anza kwanza kumfungulia kesi mamako kwanza we kuwa na udumavuwa akili kiasi hicho, pili kuendelea kuwa maskini mpaka umaskini wa akili
Mama wa wengine wapewe heshima sawa na unayompa mamako. Sioni haja ya kuwaingiza mama wa wengine kwenye hoja yako. Ikikupendeza mtake radhi mchangiaji na jibu hoja yake kistaarabu tu itapendeza Sana.
 
Li nchi limekuwa gumu kama jiwe.
Mtaani dhiki inaongezeka watu hawaelewi mchawi ni nani wanajiuliza wamlaumu nani kati ya hawa.
1.CCM
2.Samia
3.Uvivu
4.Mabeberu
5.Akili ndogo za raia dhidi ya maisha
6.Kurogwa na wachawi
Yaaani ni taflani tupu.
 
Jamaa Alichosema kakosea wapi.tatizo hamtaki ukweli ila mtaujua tuh.samia kaeka wazi mkataba uko bungeni.ila huyo mwenyekit wenu ruzuku zimerudishwa mbona hajasema wakt zinekatwa alipiga kelele
 
Ufisadi na wizi wa mbowe hutetewa sana na nyumbu wake
 
Back
Top Bottom