Amos Makalla amshambulia Freeman Mbowe mbele ya Rais Samia
Makala ameyasema hayo Mwanza ambako Rais Samia anashiriki Tamamasha la Bulabo kuwa, Mbowe alifanya siri kusema kuwa wameanza kupokea ruzuku wakati Rais Samia amepeleka Mkataba bungeni wazi kabisa kwa wabunge kujadili na kupitisha.

Makalla akaendelea kuwa wengine hata haya mambo madogo wanafanya siri, kama wakipewa nchi si hatari? Na kwamba Rais anatakiwa kutembea kifua mbele kwani wananchi wana imani sana na yeye.
Ndio secretary wa Makala
 
nyie nyumbu mnajulikana mlivyo mazuzu, kila la hovyo atakalofanya huyo mlevi wenu mpo. Aibu yenu. Acheni mama afanye wonders siyo huyo m/kiti ambaye ameshindwa hata kujenga kaofisi kadogo ndiyo ajenge nchi? Watoto wake wako Marekani nyie mpompo tu km mamburula. Mwacheni mama ajenge uchumi kiwango chake kipo juu sana siyo km nyie mliodumaa akili
nguruwe wa samia mwaka huu kama huwa mnazaa watoto sita mtazalishwa watoto kumi na tano mtake msitake wajinga nyinyi majiz ya kura na majengo ya serikali kuyageuza mali za chama cha mabwabwa.
 
“Ukiwa unaongelea kibanzi kilichopo kwenye jicho la ndugu yako na wewe angalia boriti ulilo nalo katika jicho lako, Mheshimiwa Mbowe hata kusema tu kuwa ruzuku tumepata unafanya siri?, Mhe. Rais wewe unapeleka mkataba Bungeni wazi kabisa yeye hata ruzuku hasemi.

“Alisema hatupokei hatupokei lakini bilioni 2.9 ameziweka mfukoni hasemi kwamba ameanza kuzipokea, nani mwenye uwazi kati ya Samia Suluhu na Viongozi wengine, mambo madogo kama haya wanafanya siri wakipewa nchi si itakuwa hatari,” Makalla.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla akizungumza kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo lilifanyika kwenye uwanja wa Red Cross Bujora Kisesa Wilayani Magu mkoani Mwanza.

=====
Pia soma: Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku
Hivi vetting za uteuzi hufanyikaje?
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
Kwa nini aliyetoa hizo bilioni 2.9 hakutangaza? Mnataka mpokeaji ndo atangaze wakati mtoaji ambaye ana dhamana ya Wananchi kakaa kimya? Au ilikuwa rushwa?
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
UN-MERITOCRACY LEADER
 
Makala ameyasema hayo Mwanza ambako Rais Samia anashiriki Tamamasha la Bulabo kuwa, Mbowe alifanya siri kusema kuwa wameanza kupokea ruzuku wakati Rais Samia amepeleka Mkataba bungeni wazi kabisa kwa wabunge kujadili na kupitisha.

Makalla akaendelea kuwa wengine hata haya mambo madogo wanafanya siri, kama wakipewa nchi si hatari? Na kwamba Rais anatakiwa kutembea kifua mbele kwani wananchi wana imani sana na yeye.
Bado tuna safari ndefu sana!! Hao ndiyo aina ya wabunge tunaotegemea wataisimamia serikali!!! Kwa kujikomba huko kuna kuisimamia kweli serikali?
 
Senge tu hilo kenge ataishia kuwa rc wa pembezoni wakat wenzake wanakula maisha
 
nyie nyumbu mnajulikana mlivyo mazuzu, kila la hovyo atakalofanya huyo mlevi wenu mpo. Aibu yenu. Acheni mama afanye wonders siyo huyo m/kiti ambaye ameshindwa hata kujenga kaofisi kadogo ndiyo ajenge nchi? Watoto wake wako Marekani nyie mpompo tu km mamburula. Mwacheni mama ajenge uchumi kiwango chake kipo juu sana siyo km nyie mliodumaa akili
Unafiki hautakufikisha mbali.
Ulimsikiliza Dr. Slaa?
Umelisikiliza bunge au unaongea tu ili uteuliwe kua DED.?
YASOME YALE MAJINA YA WALIOTEULIWA KUWA MA DED NDIO UTAJUA HUJUI.
 
SASA MAKALA NAYE NI MTU, SI KIAZI TU KIPO KIPO TU
Viongozi wengi hushindwa kujitafakari sana, na hasa wenye nafasi za kuteuliwa, wanafika mahala mpaka anafikiri ng'ombe na kuku wote ni wanyama wa porini, na anaweza kusema maneno hayo hata mbele ya bosi wake na mbele ya wananchi. Sasa ukiona hali ya namna hiyo wengi wanahitaji kupumzika wana ugonjwa wa "sifia upate cheo" ugonjwa huu ni mbaya sana na kwa sasa umeshika kasi kubwa sana.
 
Huyu anatakiwa kufunguliwa kesi binafsi. Hajui wenzake huwa wanajificha nyuma ya kinga kuwa ni wabunge na wanazungumza wakiwa Bungeni.

Anatakiwa atoe ushahidi wa hizo bilioni 2 alizobinafsisha Mbowe. Na Mbowe akimnyamazia tutahisi kuna ukweli katika hizi shutuma.

Amandla...

Halafu ni wazi anamtuhumu pia na Rais na Mwenyekiti wake wa chama kutoa rushwa.

Ukishakuwa mwana CCM akili yote huota mbawa! Adui mkubwa wa taifa hili ni CCM!
 
Makala si alitumbuliwa kipindi cha Jpm kuwa HATOSHI amerudi tena
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
Huyu mvimba mashavu naye pumba TU,kama Mbowe kaiba,SI wampeleke mahakamani,
Ajibu hoja za kwenye mkatqbq sio kutunisha mashavu
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu KUHassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
KUMBE AMESHAJIPIGIA KITITA CHAKE KIULAIIIIIINI, DAH KWELI JAMAA NI KIJANA WA TOWN, KUJIFANYA ANAPINGA NI KUWAZUGA WAJINGA TU, LAKINI MBOWE NA RAIS WETU, DAMU DAMU TU.
 
Makala ameyasema hayo Mwanza ambako Rais Samia anashiriki Tamamasha la Bulabo kuwa, Mbowe alifanya siri kusema kuwa wameanza kupokea ruzuku wakati Rais Samia amepeleka Mkataba bungeni wazi kabisa kwa wabunge kujadili na kupitisha.

Makalla akaendelea kuwa wengine hata haya mambo madogo wanafanya siri, kama wakipewa nchi si hatari? Na kwamba Rais anatakiwa kutembea kifua mbele kwani wananchi wana imani sana na yeye.
"wana nchi wanaiman nae sana mama"
Dah kauli hii kamalz kila ktu[emoji16][emoji846][emoji58]
 
Ila ukweli usemwe wazi huyu RC Makala ni mweupe sana kichwani probably ndio maana JPM alivyogundua Hana chochote kichwani aliamua kumtema,kwahiyo kwake yeye wauze bandari na kupoteza uhuru wetu na tubaki kimya kisa mbowe kala ruzuku?ivi huyu anabebwa na nani kupata huo ukuu wa mkoa?je Kwa alivyo kilaza ataleta mabadiliko chanya au yupo tu kunenepesha mashavu?
 
Back
Top Bottom