Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Wilaya zote ni karibu vijiji vyote,isipokuwa kuna Kijiji Kimoja kinaiwa wotta_Mpwapwa wagumu kuuza.Bei ni kuanzia laki na nusu inategemea na muuzaji.Huko wotta ni watu waliohamia Toka Iringa kutokana na vita vya wajerumani na Wanyalukolo!
Sasa huko mzee si wanakaa wahehe?! Halafu ni mlimani, Ila Kuna chakula balaa! Ni pazuri sana
 
Asante mkuu. Hivyo vijiji vya kahama ulivyotaja wanauza bei Gani?
 
Ukisema unataka kwenda shambani basi usisahau kununua land cruiser engine 1kz, 1kd, 1hz pia 1hdt pia Kuna Hilux 3l na 5l hapo at least utakuwa serious na shamba Kwan shamban Bila gari inayovuta tair zote 4x4 (4-wheel) n ngumu kutoboa tofauti na hapo shamba litabaki kuwa stori

Nimechomekea hili ni muhimu sana
 
Mkuu ni PM nikupeleke nafanya kazi huko, ardhi kama yote, af no mbolea mazao yanaenda tu.
 
Wakati mwingine bei ndogo inaashiria mambo yaliyojificha. Be carefully.
 
Mkuu senta chale,lugunga,kalumwa,segese maeneo ni sh ngapi kwa heka. Na kama hutojali hivyo vijiji ni uelekeo gani ukiwa hapo kahama. Naifahamu kahama kiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…