Aisee!mambo yanazidi kunogaKwa yanayoendelea katika anga za Kimataifa Nchi Moja ya Afrika Mashariki ijiandae tena kuongozwa na Makamu wa Rais either kabla au baada ya uchaguzi.
Duru kutoka The Hague Uholanzi zinadai wakati wowote Rais mmoja mwanamke atatolewa hati ya kukamatwa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai kutokana na tuhuma za makosa dhidi ya Binadamu hasa ubakaji, utekwaji, upotezaji wa Wapinzani wa Kisiasa.
Baada ya Hati hiyo kutolewa kuna uwezekano ikaundwa TaskForce itakayoongozwa na moja ya Taifa kubwa sana duniani kuhakikisha anakamatwa na kufikishwa The Hague.
Tumefika pazuri sana.......
Ukombozi unakaribia..........
Mitano tena hapatiNaunga mkono hoja,
Samia huyu wa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na huyu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
na huyu Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Ndiye niliyemfahamu mimi,
Hata Mbowe alipokosa imani na Rais Samia,nilimshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!
Naendelea kusisitiza Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
tumpe muda wa kutosha wa mitano tena!
P
Aisee kumezidi kunogaKwa yanayoendelea katika anga za Kimataifa Nchi Moja ya Afrika Mashariki ijiandae tena kuongozwa na Makamu wa Rais either kabla au baada ya uchaguzi.
Duru kutoka The Hague Uholanzi zinadai wakati wowote Rais mmoja mwanamke atatolewa hati ya kukamatwa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai kutokana na tuhuma za makosa dhidi ya Binadamu hasa ubakaji, utekwaji, upotezaji wa Wapinzani wa Kisiasa.
Baada ya Hati hiyo kutolewa kuna uwezekano ikaundwa TaskForce itakayoongozwa na moja ya Taifa kubwa sana duniani kuhakikisha anakamatwa na kufikishwa The Hague.
Tumefika pazuri sana.......
Ukombozi unakaribia..........
Hilo genge lina hidden agendaGenge la wahuni.nyuma yake ndiyo Tatizo
Lolote baya limpateTuombe tu mwisho mwema kwa taifa, yeye hata likimpata lolote ni ameamua iwe hivyo.
Mitano tena hapati kwa vipi?!Mitano tena hapati
Can you vote for her?!Mitano tena hapati kwa vipi?!
lets be realistic!Pre GE2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?
P
Mimi ni kada,tuliisha maliza kazi January,October ni kukamilisha tuu taratibu za kuthibitisha!na humu nimewaeleza!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!Can you vote for her?!
🤣🤣yeye ndio Rais na Amiri jeshi mkuu, ameshaamua sasa na kazi inaendelea asietaka akaumeze wembe
mama samia ni Chaguo la Mungu tulichelewa sana[emoji120][emoji120]
View attachment 1745230
Mitano tena? Halafu?Naunga mkono hoja,
Samia huyu wa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na huyu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
na huyu Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Ndiye niliyemfahamu mimi,
Hata Mbowe alipokosa imani na Rais Samia,nilimshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!
Naendelea kusisitiza Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
tumpe muda wa kutosha wa mitano tena!
P
Wakati wa kufanya uamuzi muhimu, ni watu wachache sana hujiuliza hili swali: “nikifa hapo katikati itakuwaje?” You would think God has irrevocably guaranteed our life for a specified period of time. JPM angejua kingetokea kile kilichotokea, I am sure huyu idiot aliyerithi hicho kiti asingepewa heshima ya kuwa running mate!Wakuu, niulize kitu.
Kulikuwa na umuhimu gani kumchagua mgombea mwenza kwa kuzingatia jinsia badala ya kuzingatia uwezo?
Kwa ninavyojua , mgombea mwenza ambaye badae huja kuwa makamu wa mshindi huwa ni Rais mtarajiwa ikiwa muda wowote Rais aliyepo atashindwa kutimiza majukumu yake . Ni kama Rais mtarajiwa muda wowote likitokea la kutolea.
Sasa nafasi nyeti kama hiyo unatumiaje vigezo hafifu kama hivyo?
Nafikiri ilikuwepo nafasi ya kufanya reshuffle hapo katikati, tena katika njia rahisi maana mtu kasusa mara kadhaa lakini watu waliacha hizo nafasi zipotee.
Sasa matokeo yake ndo haya. Muhusika alaumiwe lakini Wapo wakulaumiwa zaidi.
Na sasa wajipange upya, waweke hisia na urafiki pembeni, lasivyo tutaletewa vitu vya ajabu zaidi.
Kuna nafasi sio za kuchezea.
I think it's time to take action.
It's time guys..... We're running out of time!
Mwamba aliona mbaliSasa kama Samia ana cheap popurality sijui Magufuli alikuwa na nini? Maana yeye alimulikwa na Kamera hata akienda kumuomba Mungu wake.
Tulia mzee dawa ikuingie. Mlisema maendeleo ya Tanzania yamecheleweshwa na wapinzani sasa kuanza kijiji, kitongoji mpaka taifa ni CCM tupu.
Usiangalie idadi ya kurasa angalia utekelezaji.