Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Nyumbu mnachekesha sana ila mmefanikiwa kufanya sisi wakulima tuogope kupalilia mashamba yetu maana mkiona shamba limepaliliwa yule nyumbu mwenzenu wa CNN anasema ni kaburi la halaiki

Kweli nyumbu ni chakula cha mamba
 
Tuna gesi sio jeshi, jeshi gani linaruhusu watu wanauwawa kama kuku lenyewe lipo tu kama vinyago vya kimakonde? Hata mimi sina imani nalo.
 

Labda ndiye mshika VIBUYU vyake....!!
 
PSU ni nini MKUU?? bado uko dunia ya miaka ya 80 hakuna kitu kama hicho nyakati hizi JIUPDATE.

By the way unaowaona mafala ndo wameibeba hii nchi mpaka sasa vinginevyo mlikua mnasaga meno
President security unit
 
Ivi na wewe akili zako timamu umeamini askarinwa ug waliingia

Waliingilia wapi?? Lini au ndo waliingia na vifaru kama mlivyo mezeshwa kupitia BUKOBA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabisa jeshi lilikua enzi za Mabeyo na Mwamunyange
Huyo Mabeyo si ndio Magufuli alipokea wapinzani waliohamia ccm kuunga juhudi kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha akawa anatabasamu tu, wakati jeshi limetengwa na siasa kikatiba? Hawa wanajeshi wanaonekana ni madhubuti wanapodhibiti raia wasio na silaha. Tuombe tusipate vita na adui wa nje, itakuwa aibu.
 
JWTZ kwasasa inageuzwa geuzwa kama Chapati

Ile HESHIMA KUBWA waliyokuwa wakiipata hakuna tena kwa awamu hii

Yaani mpaka polisi wa kawaida wanaonekana bora zaidi

Hii yote ni kwsbb ya siasa
 
Tuna jeshi au takataka???
Wapewe mifuko ya uzazi tu wabebe mimba walau waijaze dunia... labda faida yao itaoneka.
 
samia achia nchi ccm achieni mamlaka hakuna jambo mtatushawishi tuka waacha muendelee kuuwa na kutesa watanganyika kwenye ardhi yetu anguko lenu liko limefika badala mdhalilike na kuichafua nchi yetu achieni nchi kwa hiali yenu na mkimbie kabla mambo haya chemka kama mkisubilia mpaka ifike 9/12/2025 alooo Hamtoamini macho yenu
 
Najua hii kitu wengi hawaijui,ukweli halisi ni kwamba mama kuingia madarakani kabla ya uchakafuzi wa kuiba kura kuna ushirikina mkubwa sana ambao ulifanyika ili kuwapumbaza wanainchi,huu ni uchawi amabo Marais wengi wa Afrika wanao na viongozi wa kawaida ambao wao huweka uchawi mbele badala ya uwajibikaji kwa wanaowatawala

Sasa mama aliaminishwa au ameaminishwa kwamba amewaweka kiganjani Watanzania inawezekana kweli kuna watu wamewekwa kiganjani sababu unashanga kutokana na haya madudu lakini bado wanaendelea kumtetea,kiuhalisi kujiamini kwake kwa hizi nguvu za giza zisizokuwa na uhalisia wowote ndizo zinazoenda kumuharibia,sisi wenyewe wenye macho matatu tumeshaangalia tumeona mama haendi kutoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…