Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Binafsi nashangaa sana...hatuwezi diversify maendeleo ya nchi hii kwa kubaki na mentality ya Dar es Salaam tu. It's time tukuze miji mingine...let's make Dodoma our capital city with serious political will. Hata marekani kuna New York lakini serikali imetulizana Washington DC.
 
DDM imepangika?
 
Dar kuna sumaku inawavuta.

Kila wakitaka kuondoka wanashindwa.
 
Peleka bango la matusi Mwanza utaeleweka zaidi!
 
Huwezi kushindana na Dar es salaam ndgu
 
Tuendelee kumkumbusha Rais wetu mpendwa mpaka sasahivi ajafanya chochote chenye multiple effect kwa watanzania.

Tuendelee kumkumbusha ajenda kuu za nchi hii ni

  • Kutengeneza mifumo imara ya kiutawala
  • Kuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
  • Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.

Kutengenisha siasa na biashara yaani sector binafsi iwe na nguvu sio kuwa na wafanyabiashara wanasiasa hawa hawatalipa kodi. Kuwa na elimu maalifa (ujuzi) ( tetchnical education) sio elimu vyeti na kuzalisha watu wasio ajirika hapa tutaondoa tatizo la ajira.

Sera za kibenk kwa vijana ili mabenk yaweze kuwakopesha vijana pesa na watu wafanye biashara sio kukopa mpaka uwe na nyumba au shamba kama ilivyo sasa.

Mawazo ya biashara yapewe mikopo na ziwepo bima za mikopo hiyo. Mifumo bora ya watanzania masikini kujengewa nyumba na NHC na wao kuzinunua kwa bei ndogo na malipo yawe kidogokidogo.

Sio zijengwe tena zinunuliwe na hao hao wajenzi hapana utengenezwe utaratibu wa kutambua wanaonunua ni masikini au ni matajiri?

Mama Fanya mambo ambayo yanaweza kuleta multiple effect kwa wananchi wote sio siasa za majukwaani au mambo ya kimbizana na wakina Sabaya na wengine.

Ni ushauri wangu tu safari bado ndefu na muda ni mchache tengeneza mifumo wa kisheria kikatiba hata aje mwehu kiasi gani atapita mle mle ndani ya katiba.
 
Modern economies zinajengwa kwa free market.

Nchi inapanuka, miji inastawi kwa biashara huria.

Siyo kwa central planning ya serikali kusema mji uwe hapa kwa lazima.
 
Hiyo ni chuki tu..,,inaonyesha wewe huwezi kuona kitu kinachofanyika..................
Kuna wanaoona kinachofanyika.................
Hawatafanana...............

Kila jambo na wakati wake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…