Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hizi hizi akili zetu watu weusi. Ndio maana tumejazana Dar kama magunia. You can't build a strong economy kwa kuwa na mji mmoja unaotia ushamba watanzania wote...modern economy ipo kwenye modern cities. Dar imejazana haijapangika yani tunaishi kama mizigo..wengi wetu.Mambo ya kulazimisha....
DDM imepangika?Ndio hizi hizi akili zetu watu weusi. Ndio maana tumejazana Dar kama magunia. You can't build a strong economy kwa kuwa na mji mmoja unaotia ushamba watanzania wote...modern economy ipo kwenye modern cities. Dar imejazana haijapangika yani tunaishi kama mizigo..wengi wetu.
Binafsi nashangaa sana...hatuwezi diversify maendeleo ya nchi hii kwa kubaki na mentality ya Dar es Salaam tu. It's time tukuze miji mingine...let's make Dodoma our capital city with serious political will. Hata marekani kuna New York lakini serikali imetulizana Washington DC.
Modern economies zinajengwa kwa free market.Ndio hizi hizi akili zetu watu weusi. Ndio maana tumejazana Dar kama magunia. You can't build a strong economy kwa kuwa na mji mmoja unaotia ushamba watanzania wote...modern economy ipo kwenye modern cities. Dar imejazana haijapangika yani tunaishi kama mizigo..wengi wetu.
Ndio Dodoma imepangika haswa kiukweli chini ya iliyokuwa C.D.A.DDM imepangika?
haya unayataka wewe kwa maslahi yako sisi tunataka maendeleo ambayo mama anayafanya huna hoja ya msing hapaKuleta katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
Kuwepo tume huru ya kusimamia chaguzi zote za mwakwa 2024 na 2025 na mbele.
Mkuu niuzie ila site yako.Na hana uwezo wa kutuongoza kabisa yani.
Mkuu, wewe ni Albert Chalamila? Nauliza tu lakini!! 😇Na hana uwezo wa kutuongoza kabisa yani.