Mama hawezi kamilisha hio miradi, kaanza na gia mbaya ya kufurahisha watu badala ya kuonyesha ni mtu wa kufanya maamuzi magumu. Kama hiyo miradi itakamilika itakamilika michache na kwa kusuasua sana na ni ile mbayo wafadhili wanaisapoti, mambo ya stiglers gorge ambayo yalipingwa sana na wahisani atasua sua sana kuimaliza. Sababu ya kusuasua kuimaliza ni kukosa hela ya kuifanya hiyo miradi, pesa nyingi inaenda kutoka sababu wajanja wengi wanarudi kwa mgongo wa rais kakaribisha wawekezaji, pia kudai pesa iwekwe mifukomi kwa watu, ili ufike mahali fulani ni lazima ujibane bane. Ndio hatua ambayo tulikua nayo kwa JPM, ilikua hatua ya mpito.
Yaani hata mwezi haujapita keshaanza kupigiwa simu na wawekezaji ikulu. Picha mbaya wanaenda muweka kiganjani mwao.