MAMA unatulazimisha tusimame wima kutetea haki zetu za kikatiba, tutakupinga, utakasirika, utaanza kujilinda, utatuwinda, wapambe wataanza kutusaka, watatukamata, tutapewa mashtaka ya uchochezi & uhujumu uchumi. Mama, washauri wako hawajakushauri bado. Usikubali kuchukiwa kizembe
ila Chadema bhana daaah[emoji16][emoji16]
Uwe na heshima na adabu katika ukosoaji wako!
Acha mikwara.Acha mkwara ww utamfanya nini amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kama Mbowe mweny wapambe nchi nzima anaishia kulia lia tu mitandaoni, ww ni nani hadi uje na mkwara huu. Mama ni mwanamke kimuonekano, lkn kiuongozi sio mwanaume wala mwanamke yupo kote kote ndo maana mwanaume ukizingua anakuzingua na mwanamke akizingua anamzingua. Afu bro siku nyingine uangalie maneno ya kumuandikia amiri jeshi mkuu wa majeshi yote na mkuu wa nchi yenye mikoa 31 hapa Africa. Lets respect our Command in Chief.
Nikosoe kiafrika au?Uwe na heshima na adabu katika ukosoaji wako!
Kimsingi hafai hata kidogoMAMA unatulazimisha tusimame wima kutetea haki zetu za kikatiba, tutakupinga, utakasirika, utaanza kujilinda, utatuwinda, wapambe wataanza kutusaka, watatukamata, tutapewa mashtaka ya uchochezi & uhujumu uchumi. Mama, washauri wako hawajakushauri bado. Usikubali kuchukiwa kizembe
Siyo Command in Chief kwanza.Acha mkwara ww utamfanya nini amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kama Mbowe mweny wapambe nchi nzima anaishia kulia lia tu mitandaoni...
Apo amekosea vipi au bado upo na umagufulismUwe na heshima na adabu katika ukosoaji wako!
Shikamoo mkuuMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani...
Weye ni ccm unaelialia kupitia ile timu ambayo hadi sasa haiamini kilichotokea, tulia tu sindano iingieNdio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake