Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

MAMA unatulazimisha tusimame wima kutetea haki zetu za kikatiba, tutakupinga, utakasirika, utaanza kujilinda, utatuwinda, wapambe wataanza kutusaka, watatukamata, tutapewa mashtaka ya uchochezi & uhujumu uchumi. Mama, washauri wako hawajakushauri bado. Usikubali kuchukiwa kizembe

Very good advice

Asipokuwa makini sasa hivi ataanza kutafuta mchawi.
 
Acha mkwara ww utamfanya nini amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kama Mbowe mweny wapambe nchi nzima anaishia kulia lia tu mitandaoni, ww ni nani hadi uje na mkwara huu. Mama ni mwanamke kimuonekano, lkn kiuongozi sio mwanaume wala mwanamke yupo kote kote ndo maana mwanaume ukizingua anakuzingua na mwanamke akizingua anamzingua. Afu bro siku nyingine uangalie maneno ya kumuandikia amiri jeshi mkuu wa majeshi yote na mkuu wa nchi yenye mikoa 31 hapa Africa. Lets respect our Command in Chief.
 
ila Chadema bhana daaah[emoji16][emoji16]

Chadema umewaona wapi?

?!
 
Acha mkwara ww utamfanya nini amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kama Mbowe mweny wapambe nchi nzima anaishia kulia lia tu mitandaoni, ww ni nani hadi uje na mkwara huu. Mama ni mwanamke kimuonekano, lkn kiuongozi sio mwanaume wala mwanamke yupo kote kote ndo maana mwanaume ukizingua anakuzingua na mwanamke akizingua anamzingua. Afu bro siku nyingine uangalie maneno ya kumuandikia amiri jeshi mkuu wa majeshi yote na mkuu wa nchi yenye mikoa 31 hapa Africa. Lets respect our Command in Chief.
Acha mikwara.
 
hahahaha, kwa hiyo mama ili asichukiwe akubali kila matakwa ya CDM... acha mama aongoze kulingana na vipaumbele vyake..tusimchagulie vipaumbele kwa matakwa ya wanasiasa wachache...
 
Wahafidhina wa CCM wanampotosha sana Mama, shauri yake mwenyewe,hajui wanamuonea wivu kwa vile ameanza vizuri na amekubalika. Wahafidhina hawa ni watu wenye roho mbaya sana kuliko ibilisi.
 
MAMA unatulazimisha tusimame wima kutetea haki zetu za kikatiba, tutakupinga, utakasirika, utaanza kujilinda, utatuwinda, wapambe wataanza kutusaka, watatukamata, tutapewa mashtaka ya uchochezi & uhujumu uchumi. Mama, washauri wako hawajakushauri bado. Usikubali kuchukiwa kizembe
Kimsingi hafai hata kidogo
 
Acha mkwara ww utamfanya nini amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kama Mbowe mweny wapambe nchi nzima anaishia kulia lia tu mitandaoni...
Siyo Command in Chief kwanza.

Halafu uwe unajifunza kuchambua, Hapo ametishwa nani?. Atakayeanza kutusaka huyo amaetishwa?
 
Samia can't think on her feet.

She also quoted a fake news article about Coronavirus.
 
Nchi ilishapotea kitambo hivyo kila mmoja anaongoza ndani ya upotevi, hivyo hata kujua kama tunaelekea kwenye heri ni ngumu.
 
Samia Hana uwezo wowote ule

Yaani hakuna watu wa kuwaogopa kama ma ccm! Hawanaga maana kwenye hii inchii zaidi ya propaganda nyingi! Askofu Gwajima alihaidi mambo kem kem leo yuko wapi... Alie muweka hapo kafaa na ahadi ya kuwa waziri imegonga mwamba yaani

Sasa hata mm sijipi matumaini kwa mama samia maana ni walewale 2, hawezi kuenda against chama chake! Ni kondooo anae ongozwa na fimbo [ ilani ] ya mchungaji ( ccm)

Haya huyu mama kasema j5 na Alhamisi anapokea mitaarifa ya CAG iliyofanywa BoT ( Benki Kuu) sasa hapo sisi hatuna shida!! Sasa ikionekana kuna wizi ulifanyika na matrillioni ya hela zimepotea! Jee mtasema ni hela za mboga?

Alafu ikitokea CAG kasema kuna fedha hazipo kwenye bajetii haijulikani ilipo... Itamhusishaa aliekuwa waziri wa fedha ( Mpango ) ? Au utamsaidia mwanao?

Kazii iendelee! Dictator Kipanya! Kung'ata na kupuliza yaani
mqdefault(1).jpg
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi.

Ni miaka sita sasa tangu Tundu Lisu aitabirie Tanzania mabaya ikiwemo kushitakiwa MIGA , ndege kukamatwa, uchumi kufilisika, kunyimwa misaada mbalimbali. Mpaka sasa hakuna hata kitu kimoja kilichotabiriwa na Lisu kilichotimia maaana yake aliwadanaganya watanzania, yani licha ya kusoma kwa kodi za watanzania yeye anakuja kufanya kazi ya kuwadanganya watanzania!!!
Kinyume na utabiri wa Lisu ,Tanzania ya sasa imeingia uchumi wa kati, hatujashitakiwa MIGA na viwanda vya kuchenjua dhahabu vimejengwa Mwanza. Mapato ya madini yamepanda kutoka billioni 100 hadi billion 500, ndege hazikamatwi na watanzania ni wamoja zaidi kinyume na utabiri wake.
Baada ya kuona aibu Tundu Lisu na Lema badala ya kuwaomba msamaha watanzania wao wamekimbilia Ulaya kwenda kulishwa bure na wazungu!!

Lema na Lisu rudini nyumbani muwaombe msamaha watanzania muanze kuishi kwa jasho lenu kwa kufanya kazi na siyo kulelewa.
 
Kwa picha hii Inaonyesha hawa jamaa kweli zilikua haziendi.
 
Hahahaha huyu mama ni muoga si dictator mama anajua kabisa huku mtaani hakuna anaemuelewa hasa kumjua kwani watanzania wengi wanatabia ya kumchagua mtu wanaemjua kwa sifa zake huyu mama amekaa kiofisi zaidi si kifield kama JPM sapport pekee aliyonayo ni mitandaoni tu ambao wengi si wapiga kura .. huku mitaani hali ni tofauti kabisa sasa akiruhusu siasa za mitaani anajua kabisa mwaka 2025 maajabu yanaweza kutokea na akajikuta ni Trump wa kike (rais wa muhula mmoja)
 
Back
Top Bottom