Utawala wa JK nauona tayari, na nchi itarudi kuwa mashimo kama ataruhu madini yachimbwe hata kwenye hifadhi za wanyama[emoji35]
Project ya uwanja wa ndege chato inakwamua nchi vipi kiuchumi???Sawa jamaa amekopa pesa nyingi ndani ya muda mfupi,shida iko wapi ikiwa hiyo hela inapelekwa kwenye projects zinazolenga kuikwamua hii nchi kiuchumi ndani ya muda mfupi?..sasa vp wale waliokuwa wanakopa kwa jina la nchi then pesa zenyewe karibu zote zinaishia kwenye mifuko yao binafsi
KufaMimi kwa kweli nimeshakata tamaa..
Mimi hili sikuelewa vizuri na sikumsikia SSH akilisema ila wachimbaji walilisema. Hivyo wanyama kwenye hifadhi watahamishwa???Utawala wa JK nauona tayari, na nchi itarudi kuwa mashimo kama ataruhu madini yachimbwe hata kwenye hifadhi za wanyama[emoji35]
Leta takwimu si propaganda za wahuni wa mitandaoni niambie ni serikali gani duniani inaajiri Graduate wote wanaomaliza Chuo? Tanzania ina vyuo 43 ambavyo vyote vinatoa wanafunzi kila mwaka je ni watu wangapi kwa mwaka wanahitimu kuanzia Degree mpk Certificate je hao wate serikali gani Dunia inaweza kuwapa ajira wote?
Anza wewe #posKufa
Mama keshaonyesha kutakua na mianya, hivyo ukipata fursa wewe kusanya chako kwa ajili yako na familia yako.Mimi kwa kweli nimeshakata tamaa..
Utakoma, mpaka mama amalize muda wake, utakuwa haupo!Hawa Wanaomsifia sasa ndo hao hao Watakaomnanga........Kama Enzi za Mzee Wa Msoga...! Tunaikumbuka ile Kauli Ya ' Raisi Dhaifu' ilitokea Wapi....!
Ni mapema mno kukata tamaa. Na ni muhimu sana afanikiwe maana this will shape history ya wanawake kwenye uongozi wa juu Tanzania.Mimi kwa kweli nimeshakata tamaa..
[emoji3][emoji3][emoji3]yeye ndio Rais na Amiri jeshi mkuu, ameshaamua sasa na kazi inaendelea asietaka akaumeze wembe
mama samia ni Chaguo la Mungu tulichelewa sana[emoji120][emoji120]
View attachment 1745230
Aliekwambia uchumi unajengwa kwa watu kuajiriwa? Nitajie nchi ambayo wananchi wake wote wana ajira unasema ameua sector binafsi leta mifano si kusema tu .Nitajie sector binafsi ambayo inafanya shuguli zake Tanzania imekimbia waliokimbia ni wakwepa kodi na makampuni ya kitapeli lakini kama ulikuwa unafanya shuguli zako vzr huwezi kuondoka kwani sheria ni zile zileKwani Kikwete aliwezaje?? Unadhani watu wanaongea masikhara??? Fedhuli wenu kaua sekta binafsi kafanya wakimbie na kafukuza maelfu ya watu kazi bila kuajiri upya huko ndo kujenga uchumi???
Nimemuelewa point blank. #soldoutMama keshaonyesha kutakua na mianya, hivyo ukipata fursa wewe kusanya chako kwa ajili yako na familia yako.
watu walikua wanaiweka nchi sehemu sahihi yeye anakuja na approach za furahisha genge.