Kule Zanzibar yupo Chogo ndio Raisi Huku Tanganyika yupo Mmakunduchi ndio raisi ,Mbongo anaweza kuwamudu wapemba aka wazanzibari kuwaongoza japo kama ng'ombe lakini Mpemba kuwaongoza wabongo ipo kazi maana wabongo wanajali hela kuliko utu.
Ni bora tukaufanya Unyerere Husein Mwinyi aletwe awe Raisi wa Tanzania. CCM wanaweza kulifanya hili ,wakiamua wanaweza.
Bingwa, nchi yote iko chini ya wavisiwani ingawa kuna kwa jinsi inavyoonekana, serikali kivuli(sio ile ya wabunge wa upinzani) inaikimbiza mchaka mchaka serikali tangible. Yote kwa yote, zote mbili ni pipa na mfuniko.
Mama ka-flop, tuwe wakweli na wala si kosa lake. Tofauti ya Mwalimu anayefundisha na mwanafunzi anayemsikiliza ndio hii tuionayo.
Nina mashaka sana na sifa za kuwa mgombea mwenza zilizowekwa na chama na mamlaka ya huyo mgombea mwenza wawapo madarakani.
Tukianzia kwa Ben, makamu wake angeweza/alikuwa na sifa ya kuliendesha li JMT? Shein je? Kutoka JMT kwenda SMZ, sio demotion? Gharibu??? Au nafasi ya VP ni kama kuwa PA wa raisi?
Kisiasa, hakuna uwezekano kuwa anayekuwa VP anapaswa kuwa na sifa dhaifu ili asim-outshine boss wake?
Kwaharaka haraka, ukimuondoa zero, PMs wengine wooote walionekana wanao uwezo wa kukalia kiti kikuu, je ni kwasababu ya mamlaka na majukumu yaliyo chini yao? Maana, baraza ni la raisi na PM ingawa kisiasa PM anateuliwa kwa mashauriano ya raisi na VP.
VP akijiuzulu au kutolewa basi Raisi naye anatoka, PM akijiuzulu au kutolewa, basi baraza halipo, si ndio hivyo?
Hivi Raisi anaweza kutekwa na akaongoza nchi au akawa bado Raisi ?
Boss, kwa yanayoonekana, una maanisha kutekwa=kupokwa mamlaka? Kama ndivyo, basi hiyo ni tangu siku ya kushika msaafu mbona.
Zaidi ya kusikiliza ripoti za watendaji wake, anapaswa pia kusoma yeye mwenyewe na kuhoji, si tunalo tatizo la kutopenda kusoma! Sasa si huyu wala mkwere wenye hiyo interest ya kusoma, hivyo watendaji wanayo nafasi ya kusema vyovyote mbele yake na akalibeba hivyo. Mambo yalikuwa tofauti kwa JPM, tangu akiwa waziri inaonekana alikuwa akisoma sana maandishi na kuyameza pia, hii ilimfanya kuwa well informed, si anasoma mwenyewe!
Sleeping giant.