Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Tunapojadili mustakabali wa nchi punguza nyege za uchama. Nyinyi ndio mnaopata tabu na hitaji la katiba mkidhani ni kwa ajili ya Chadema. Tanzania ni zaidi ya Lissu, Mbowe na Lema. Mmepotezea watu muda 60yrs lakini bado mnaendelea na ujinga ule ule
Mbona katiba yenu imewashinda nyi kima. Mbowe mpaka anaowa wake zenu lakini mpo kimya....
 
Vita ni kali huku mwigulu,kule sukuma gang,huku mataga,hapa Wana mtandao,Kati msoga line.
Soon maza ataomba poo,vita ya kugombea maslai ya makundi.nchi ipo kwenye autopilot.
 
Corona imwaacha pabaya sukuma push
 
Unayegemea sukuma empire wataongea nini juu ya huyo mama?
 
Baada ya kumtaja Sirro tu mwili wote umesisimka, ni kamanda wa hovyo kabisa ndani ya jumuiya yetu pendwa ya Afrika Mashariki.
 
Umemaliza kazi
 
Wee ukianza kutongoza Mwanamke kumuoa unaanza kumshawishi kwa kutaja furaha za ndoa au changamoto?

Sasa hivi tuna changamoto kubwa ya kurudisha Uwekezaji na njia bora ni kuwaaminisha mazingira kuwa yameboreshwa sio kuanza kuwapa maangalizo
Kwani wawekezaji walifukuzwa na kiongozi wa chama cha upinzani?
 

Tumepigwa, Bila hata kupapasa.
 
Mtaelewa tu mbwa nyie

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Napenda sana kuona vita ikiendelea kati ya MATAGA na BAVICHA. Endeleeni kurumbana ila mwisho wa siku raia tunataka maisha Bora. Gharama ya maisha iko juu sana kwa sasa kuliko Hata kipindi cha Mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…