Kabisa mkuu,Mtakoma mwaka huu. Si zamu yenu imeshaisha mbona mnafata fata watu. Kaeni kwa kutulia.
Na sasa yote hayo yamerudi mama yuko vizuri. Mh. Rais Samia Suluhu Hassan hafanyi mambo ili kupanda kisiasa.
Umoja wa Kitanzania ulikufa.
Mshikamano wa Kitanzania ulikufa.
Uhuru wa Kitanzania ulikufa.
Furaha ya Kitanzania ilikufa.
Maendeleo kwa Mtanzania yalikufa.
Haki kwa Mtanzania ilipotea.
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ameanza kurudisha hayo yote na mengineyo halafu wewe limbukeni moja unaanza kumpiga mkwara,mtashughulikiwa.
Mmezoea siasa za uongo uongo wa kishetani kama shetani alivyo baba wa uongo,leo mnaambiwa ukweli mnaona kuwa ni siasa.
Pendejo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KabisaaaaWatashughulikiwa hao chato gang
Kabisa wanakoma!Wazalendo uchwara roho zinawauma. Mtakoma chato gang
Kaka tenaAonekani wapi?..kwenye mazishi ya kaka yake hakuwepo?
Unapo fikilia kurudi nitayari unakua umsha potea so tahadhari kabla ya hatariSisi tunaenda anako taka ila tukiona kubaya tunarudi
Hatujaokota maiti zikielea kwenye viroba wala hawajapigwa watu risasi mchana kweupeUnaonaje nchu nje ya mikono ya wahuni
[emoji23][emoji23][emoji23]
Magaidi ni wewe na ccm yenuSana mama chapa kaziiiiii
Kamata magaidi piga ndaniiiiii
Hakuna kulala
Na aliua na kutesa sana wanyonge waliotofautiana naye kiitikadi, lilikuwa jitu dhalimu kupata kutokea katika historia ya nchi yetu.Tofauti yao ni kuwa JPM aliwatetea sana wanyonge na alipigania masilahi ya nchi. Pia JPM alikuwa anasikiliza kero za wananchi na zilizowaumiza alizibadili, mfano mzuri ni suala la kikokotoo.
Na aliua na kutesa sana wanyonge waliotofautiana naye kiitikadi, lilikuwa jitu dhalimu kupata kutokea katika historia ya nchi yetu.
Kwa sasa anabuni tozo na kukopa tu
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.