Ndiyo,ni Rais wa bahati mbaya.
Bahati mbaya ya kifo cha JPM ndicho kilichomfanya huyo mwanamke awe Rais japokuwa kiukweli hafai na hastahili kabisa kuwa mkuu wa Nchi yetu na amepwaya sana!
Huyo mama hafai kabisa kwa sababu zifuatazo:
Kwa muda mfupi amerejesha uzururaji usio na tija wa Taasisi ya Rais huku akiambata na watu lukuki wasiyo na tija na mwisho wa siku wameenda kutumia fedha za walipa kodi hovyo!
Amekosa mbinu chanya za ukusanyaji kodi na mwisho wa siku ameonelea ni bora awanyonye wananchi wa kawaida kwenye tozo za hovyo huku akisamehe kodi bidhaa kama pombe...
Itoshe kusema hafai!