Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

2890080_2865442_JamiiForums1550718452.jpg
 
Ndiyo,ni Rais wa bahati mbaya.

Bahati mbaya ya kifo cha JPM ndicho kilichomfanya huyo mwanamke awe Rais japokuwa kiukweli hafai na hastahili kabisa kuwa mkuu wa Nchi yetu na amepwaya sana!

Huyo mama hafai kabisa kwa sababu zifuatazo:

Kwa muda mfupi amerejesha uzururaji usio na tija wa Taasisi ya Rais huku akiambata na watu lukuki wasiyo na tija na mwisho wa siku wameenda kutumia fedha za walipa kodi hovyo!

Amekosa mbinu chanya za ukusanyaji kodi na mwisho wa siku ameonelea ni bora awanyonye wananchi wa kawaida kwenye tozo za hovyo huku akisamehe kodi bidhaa kama pombe...

Itoshe kusema hafai!
 
Nyie si ndio mlisema jpm hazuruli, tanzania sio kisiwa?
Hamsomeki..mama aendelee kukwea pipa kila siku...
 
Naunga mkono hoja

Huyu Bi Zena akemewe [emoji3]
 
Ama kwa hakikan mambo huwa yanabadilika kwa haraka.

Alianza kwa kuupiga mwingi mpaka wapinzani wakawa washabiki wake.

Alikuwa ikawa her mama kuliko mwendazake. Maneno kibao, mama ni mama tu.

My take: Tuwe tunatii mamlaka toka juu by anymeans necessary.
 
Habari Wakuu!

Uzi huu usichukuliwe kama una Ubaguzi ila ni Mawazo tu nawasilisha.

Nipo najiuliza hivi sisi Afrika tuna matatizo gani kwanini wanawake Tena wasomi wanaposhika Madaraka huyumba hivi Remeber of Joyce Banda(Zambia) Now Mama hapa nchini najaribu kuwalinganisha wanawake wa Nchi za wenzetu Mfano Chancellor wa ujerumani huyu mama kiukweli anauwezo mkubwa kiuongozi kushinda hata Viongozi wa Kiume wa Nchi zetu tena Anaongoza Moja ya taifa kubwa Duniani Ujerumani..

Sasa najiuliza hawa wanawake wa Afrika Tatizo lipo wapi Walitaka Usawa wameupata, tena bahati nzuri kwa mda mfupi tu tokea waanze kuupigia kelele huo usawa wameweza kuupata,Hadi wamepata nafasi ya kushika Madaraka makubwa lakin hakuna Efficiency inayoonekana katika utendaji wao.

Je turudi kusema warudi Waendelee kua wasaidizi katika uongozi maana wakipata nafasi wanaturudisha Nyuma hatua 10 tulipokua?
 
Back
Top Bottom