Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie si ndio mlisema jpm hazuruli, tanzania sio kisiwa?Ndiyo,ni Rais wa bahati mbaya.
Bahati mbaya ya kifo cha JPM ndicho kilichomfanya huyo mwanamke awe Rais japokuwa kiukweli hafai na hastahili kabisa kuwa mkuu wa Nchi yetu na amepwaya sana!
Huyo mama hafai kabisa kwa sababu zifuatazo:
Kwa muda mfupi amerejesha uzururaji usio na tija wa Taasisi ya Rais huku akiambata na watu lukuki wasiyo na tija na mwisho wa siku wameenda kutumia fedha za walipa kodi hovyo!
Amekosa mbinu chanya za ukusanyaji kodi na mwisho wa siku ameonelea ni bora awanyonye wananchi wa kawaida kwenye tozo za hovyo huku akisamehe kodi bidhaa kama pombe...
Itoshe kusema hafai!
😆😆😆Hazina imekauka hakuna hela mshara mpaka leo hakuna
Sio yeye peke yake, pamoja na Crimea johnthebaptist na KinujuNyie si ndio mlisema jpm hazuruli, tanzania sio kisiwa?
Hamsomeki..mama aendelee kukwea pipa kila siku...
Nimekuja kuona Mama anapigishwa mwingi sio yeye anaupiga Mwingi Mkuuimeakueje huko? amekazia tozo au niaje tena? mama "haupigi mwingi" tena?
😂😂😂Mungu alipowaumba uliwapa jukumu la kuwa wasaidizi,sasa Wanadamu kujiona mna akili kumzidi Mungu mnawapa jukumu la kuwaongoza.