Wale usiende mbali, nenda njia ya Banana tu kuelekea Kitunda ukaona show, kuna mahandaki kama sio nyuma tu ya Airport.Kuna sehemu nilienda hawana barabara za uhakika tangu wapate uhuru lakini wanavyokipenda chama na serikali utadhani wamerogwa. Nadhani mtu ukiteseka sana unakua engineered kuenjoy matatizo na mateso yako. Huenda
Asubuhi yote hiii kaka? Watu tunakula katikati ya usiku na mchana.Na tusiokula mikate kabisa twende na nani.
Nishapiga mihogo yangu ya jero na kandoro maisha yanaendelea.
Kama kijijini kwetu, huwaambii chochote wakakusikiliza likija suala la chama kikongweKuna sehemu nilienda hawana barabara za uhakika tangu wapate uhuru lakini wanavyokipenda chama na serikali utadhani wamerogwa. Nadhani mtu ukiteseka sana unakua engineered kuenjoy matatizo na mateso yako. Huenda
mixer sausage na mayai ya kuchemsha pamoja na toasted bread with butter, vya kinadharia. Kiuhalisa ni andazi moja la Bakhressa na energy drink.Kaka wengine chai pekee wanakunywa ni za hapa JF.
Kwenda huko wewe, uvivu na ujinga wako utakufanya ufe na njaa. Unataka nani akupe siagi?Wanajamii forum, ninawasalimu sana.
Mimi ni muumini wa kuswali Ijumaa
Niwe mkweli , idadi kubwa ya watanganyika, hatujui kesho yetu na hali ya Maisha ni ngumu leo ni Bora kesho.
Wanasema twende na mama 2025tunaenda naye wapi na kufanya nini.
hiyo inasogeza gurudumu mpaka jua lizame. Ni mwendo wa kukandamizia maji tu siku nzima.Asubuhi yote hiii kaka? Watu tunakula katikati ya usiku na mchana.
Yaani acha tu. Nashangaaaa sana kusikia watu wanasema CCM oyeeee nashangaa sana.mixer sausage na mayai ya kuchemsha pamoja na toasted bread with butter, vya kinadharia. Kiuhalisa ni andazi moja la Bakhressa na energy drink.
Ila mtandaoni tuko vizuri na tuna mishahara ya million 5 na gari Kali pia tunachakata mbususu hatariii duh. Uongo huuuhiyo inasogeza gurudumu mpaka jua lizame. Ni mwendo wa kukandamizia maji tu siku nzima.
Nenda Coco Beach ukaone ma brother man wanavyojifanya wana hamu na mihogo. Msela anapiga mihogo yake miwili na maji hiyo ndio ina cover asubuhi mchana mpaka jioni ndio anaenda kula tena.
Watanzania tuna maisha magumu sana.
Keki ya Taifa,inaliwa na familia kumi tu ambazo zinajiita CCM.Kwahiyo mafanikio ni kula mkate na siagi?
Mla kiti moto weKwenda huko wewe, uvivu na ujinga wako utakufanya ufe na njaa. Unataka nani akupe siagi?
Punguwani wahed.
hapo tena, kila mtu DON, wote tunaendesha Vogue. Tunaishi kwenye mabungalow.Ila mtandaoni tuko vizuri na tuna mishahara ya million 5 na gari Kali pia tunachakata mbususu hatariii duh. Uongo huuu
Ila wewe Bibi una matatizo ya akili, kwanini umtukane mtu kwa vile tu unahisi kuwa mawazo yake yanatofautiana na yako.Kwenda huko wewe, uvivu na ujinga wako utakufanya ufe na njaa. Unataka nani akupe siagi?
Punguwani wahed.
Mbowe mwenyewe akikatiwa kibunda anahamasisha siasa za maridhiano kibunda kikianza kuisha anatuhamasisha tuandamane wanasiasa wote ni weziKeki ya Taifa,inaliwa na familia kumi tu ambazo zinajiita CCM.
Angalia Ajira, Bajaji,boda boda, kushika Kwa dhamani ya Tsh, kupanda gharama za Maisha
π€£π€£π€£Kuna sehemu nilienda hawana barabara za uhakika tangu wapate uhuru lakini wanavyokipenda chama na serikali utadhani wamerogwa. Nadhani mtu ukiteseka sana unakua engineered kuenjoy matatizo na mateso yako. Huenda
si lazima unyewe chai na mkate, sijui sijui ulowekwa nini huko. Unaweza kunywa uji, tena wa mahindi au mtama, na ukajiskia vizuri na mwenye nguvu na afya zaidi kuliko hiyo chai iliyojaa vitu vya viwandani ambavyo, wabobezi wa afya wanashauri kutokiviendekeza sana πWanajamii forum, ninawasalimu sana.
Mimi ni muumini wa kuswali Ijumaa
Niwe mkweli , idadi kubwa ya watanganyika, hatujui kesho yetu na hali ya Maisha ni ngumu leo ni Bora kesho.
Wanasema twende na mama 2025tunaenda naye wapi na kufanya nini.
Twende na βmamaβ au siyo?Kwenda huko wewe, uvivu na ujinga wako utakufanya ufe na njaa. Unataka nani akupe siagi?
Punguwani wahed.
Hao wanaosema twende na Samia na ccm yao basi wananufaika na ccm na raisWanajamii forum, ninawasalimu sana.
Mimi ni muumini wa kuswali Ijumaa
Niwe mkweli , idadi kubwa ya watanganyika, hatujui kesho yetu na hali ya Maisha ni ngumu leo ni Bora kesho.
Wanasema twende na mama 2025tunaenda naye wapi na kufanya nini.