Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kuna sehemu nilienda hawana barabara za uhakika tangu wapate uhuru lakini wanavyokipenda chama na serikali utadhani wamerogwa. Nadhani mtu ukiteseka sana unakua engineered kuenjoy matatizo na mateso yako. Huenda​
Wale usiende mbali, nenda njia ya Banana tu kuelekea Kitunda ukaona show, kuna mahandaki kama sio nyuma tu ya Airport.

CCM OYEEEEEEEEEEEEE
 
Kuna sehemu nilienda hawana barabara za uhakika tangu wapate uhuru lakini wanavyokipenda chama na serikali utadhani wamerogwa. Nadhani mtu ukiteseka sana unakua engineered kuenjoy matatizo na mateso yako. Huenda​
Kama kijijini kwetu, huwaambii chochote wakakusikiliza likija suala la chama kikongwe
 
Wanajamii forum, ninawasalimu sana.
Mimi ni muumini wa kuswali Ijumaa
Niwe mkweli , idadi kubwa ya watanganyika, hatujui kesho yetu na hali ya Maisha ni ngumu leo ni Bora kesho.
Wanasema twende na mama 2025tunaenda naye wapi na kufanya nini.
Kwenda huko wewe, uvivu na ujinga wako utakufanya ufe na njaa. Unataka nani akupe siagi?

Punguwani wahed.
 
Asubuhi yote hiii kaka? Watu tunakula katikati ya usiku na mchana.
hiyo inasogeza gurudumu mpaka jua lizame. Ni mwendo wa kukandamizia maji tu siku nzima.

Nenda Coco Beach ukaone ma brother man wanavyojifanya wana hamu na mihogo. Msela anapiga mihogo yake miwili na maji hiyo ndio ina cover asubuhi mchana mpaka jioni ndio anaenda kula tena.

Watanzania tuna maisha magumu sana.
 
Ila mtandaoni tuko vizuri na tuna mishahara ya million 5 na gari Kali pia tunachakata mbususu hatariii duh. Uongo huuu
 
Ila mtandaoni tuko vizuri na tuna mishahara ya million 5 na gari Kali pia tunachakata mbususu hatariii duh. Uongo huuu
hapo tena, kila mtu DON, wote tunaendesha Vogue. Tunaishi kwenye mabungalow.

Ila ni faraja moja wapo ya kukosa uhalisia basi hata vya kuwaza pia uvikose.
 
Kwenda huko wewe, uvivu na ujinga wako utakufanya ufe na njaa. Unataka nani akupe siagi?

Punguwani wahed.
Ila wewe Bibi una matatizo ya akili, kwanini umtukane mtu kwa vile tu unahisi kuwa mawazo yake yanatofautiana na yako.

Uislamu gani unaojinasibu nao wa kutwa kudhihaki na kutukana wengine?
 
Keki ya Taifa,inaliwa na familia kumi tu ambazo zinajiita CCM.
Angalia Ajira, Bajaji,boda boda, kushika Kwa dhamani ya Tsh, kupanda gharama za Maisha
Mbowe mwenyewe akikatiwa kibunda anahamasisha siasa za maridhiano kibunda kikianza kuisha anatuhamasisha tuandamane wanasiasa wote ni wezi
 
Kuna sehemu nilienda hawana barabara za uhakika tangu wapate uhuru lakini wanavyokipenda chama na serikali utadhani wamerogwa. Nadhani mtu ukiteseka sana unakua engineered kuenjoy matatizo na mateso yako. Huenda​
🤣🤣🤣
 
Wanajamii forum, ninawasalimu sana.
Mimi ni muumini wa kuswali Ijumaa
Niwe mkweli , idadi kubwa ya watanganyika, hatujui kesho yetu na hali ya Maisha ni ngumu leo ni Bora kesho.
Wanasema twende na mama 2025tunaenda naye wapi na kufanya nini.
si lazima unyewe chai na mkate, sijui sijui ulowekwa nini huko. Unaweza kunywa uji, tena wa mahindi au mtama, na ukajiskia vizuri na mwenye nguvu na afya zaidi kuliko hiyo chai iliyojaa vitu vya viwandani ambavyo, wabobezi wa afya wanashauri kutokiviendekeza sana 🐒

hata hiyo chai au uji ikishindikana na hasa kwa watu wa bidii wasiopenda kubabaika au kupoteza muda kwa vitu luxury Tunafakamiaga Kiporo Tulichobakiza Jana Usiku na Tunasonga Mbele Kwenye Majukumu na Kazi Zetu Mbalimbali, bila Mbambamba yoyote 🐒

waTanzania kwa umoja na ujumla wao, wanampenda, wanamfurahia na kwakweli wanamkubali mno, comrade Dr Samia Suluhu Hassan kiongozi madhubuti sana, mahiri na jasiri sana kwenye kupanga na kuamua mustakabali mwema wa Taifa, kiuchumi, kijamii na kisiasa, bila kujali wamekunywa chai, ujia au wamekula Kiporo 🐒

Ndrugu zango, 2025 twendeni na huyu mama Dr.Sami Suluhu Hassan mpaka state house 🏠 atatuvusha salama zaidi 🌹
 
Mkoa wa Tabora, singida, mara , Njombe ,Tanga Kuna watu wanaishi nyumba za tope na nyasi hadi leo .
Watanganyika tumebaki tukisema
1. Yanga na simba
2. CCM na Chadema
3. Mristo na mwiislam
Ila vyote hivi vitatu haviendani na technolojia Wala kizazi kijacho.
Next generation itaishi Kwa shida sana
 
Wanajamii forum, ninawasalimu sana.
Mimi ni muumini wa kuswali Ijumaa
Niwe mkweli , idadi kubwa ya watanganyika, hatujui kesho yetu na hali ya Maisha ni ngumu leo ni Bora kesho.
Wanasema twende na mama 2025tunaenda naye wapi na kufanya nini.
Hao wanaosema twende na Samia na ccm yao basi wananufaika na ccm na rais
 
Back
Top Bottom