Wanajamii forum, ninawasalimu sana.
Mimi ni muumini wa kuswali Ijumaa
Niwe mkweli , idadi kubwa ya watanganyika, hatujui kesho yetu na hali ya Maisha ni ngumu leo ni Bora kesho.
Wanasema twende na mama 2025tunaenda naye wapi na kufanya nini.
si lazima unyewe chai na mkate, sijui sijui ulowekwa nini huko. Unaweza kunywa uji, tena wa mahindi au mtama, na ukajiskia vizuri na mwenye nguvu na afya zaidi kuliko hiyo chai iliyojaa vitu vya viwandani ambavyo, wabobezi wa afya wanashauri kutokiviendekeza sana 🐒
hata hiyo chai au uji ikishindikana na hasa kwa watu wa bidii wasiopenda kubabaika au kupoteza muda kwa vitu luxury Tunafakamiaga Kiporo Tulichobakiza Jana Usiku na Tunasonga Mbele Kwenye Majukumu na Kazi Zetu Mbalimbali, bila Mbambamba yoyote 🐒
waTanzania kwa umoja na ujumla wao, wanampenda, wanamfurahia na kwakweli wanamkubali mno, comrade Dr Samia Suluhu Hassan kiongozi madhubuti sana, mahiri na jasiri sana kwenye kupanga na kuamua mustakabali mwema wa Taifa, kiuchumi, kijamii na kisiasa, bila kujali wamekunywa chai, ujia au wamekula Kiporo 🐒
Ndrugu zango, 2025 twendeni na huyu mama Dr.Sami Suluhu Hassan mpaka state house 🏠 atatuvusha salama zaidi 🌹