Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

We msifie tu kuwa anaupiga mwingi, pochi la mama, yeye ni mungu, uchumi umepanda, maisha mazuri na n. K
Kesho tu Uteuzi kwako
 
Kamshitaki kwa mjumbe wako wa nyumba 10.
 
Ngoja tumalize kutatua changamoto za wasanii kwanza
Mambo ya wasanii ndiyo jambo
Muhimu sana kuliko yote nchi hii
πŸ˜„

Ova
 
Chura kaziba mackio yake TU!!





KAZI ni kipimo cha UTU
 
Tatizo watu mnapenda sana kudanganywa. Mkiambiwa ukweli hamtaki ila mkidanganywa mnashangilia.
 
Kuwajaza watu ujinga
Wasanii wako kaole huko
Nyie wadangaji na mamarioo mnasema wasanii πŸ˜„
Hivi ngoma ngumu kama mimi nikae niangalie bongo movie
Wanangu wenyewe mpk wanakuwa hawajawahi kutizama huo uchaf

Ova
wewe skiza ngoma kali tu kama vile maisha, Dotinata, Leo Imefika Siku yangu za akina Bana Mwambe na msondo ngoma ya waTanzania, ujiliwaze siku iishe vizuri πŸ’
 
Hivi kati ya mtu aliyepata mali kwa kutafuta juani na yule aliyerithi kutoka kwa mzazi wake; nani huwa na uchungu sana na hizo mali?
Yule aliyezitafuta mali juani ndiye huwa ana uchungu sana. Unataka kusema nini?
 
Ile alisema mh kwamba anaweka utaraibu wa kusikiliza kero za wananchi kila mwisho wa mwezi itaanza mwei gani labda?
 
Chura KIZIWI πŸ€£πŸ˜…
 
Your browser is not able to display this video.

Hivi huyu ni raisi wa nchi gani ?
Au nipo nje ya wakati .Tafadhari naomba niongee tu pasina kuhofia chochote kwa sababu inanikela.
Nawaunga mkono viongozi kama Mh.Job Ndugai na viongozi wote ambao wanapinga mauzi ya huyu mama yenu.

Kwa kweli ni raisi ambaye anahitajika ajifunze sana kuhusu UONGOZI na kama itafaa aachane nao .
β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·β–·Hana utu wa kusikiliza kukosolewa zidi ya maamuzi yake ya kishamba
β–·Kwani kama yeye ni kiongozi bora kwanini anadhindwa kuwa na staha katika majibu ya katiba mpya ?????
β–·Na tudipo shituka huyu mama anpango mbaya sana na TZ na si mwema kabisa nahisi anawatengenezea akina ndugu maisha na sio TZ
β–·Nadhani aipidhe tu nchi , huwezi kulionhoza Taifa kubwa kwa kutumia Elimu ya Darasani .

β–·πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Šβ–·
NB Watu wadiojulikana pia nawahitaji tuongee nao pia siwez kuwaacha kitawalamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…