Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
We msifie tu kuwa anaupiga mwingi, pochi la mama, yeye ni mungu, uchumi umepanda, maisha mazuri na n. K
Kesho tu Uteuzi kwako
Kesho tu Uteuzi kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamshitaki kwa mjumbe wako wa nyumba 10.Utawala ni watu ,mamlaka ni majeshi ! Kibali Cha mungu ni sauti ya watu ! Rais wangu wateule wako ni WA kwako sio wa kwetu ! Usipime Imani yetu kupitia wateule wako ! Wateule wako wapo ili wakufurahishe wewe ni sio kutuhudumia sisi hili unalijua? Aliyeshiba hamjui mwenye njaa! Juzi wametutangazia nafasi za kazi kwa mbwembwe ! Kwamba wewe umeidhinisha waajiriwe waalimu 12000!! Na wauguzi kadhaa wa kadhaa ! Tulijua shule zitafungua na waalimu wapya watakuwa kazini na tulidhani upungufu wa waalimu unaenda kutatuliwa mara Moja ! Kinyume chake shule zimefunguliwa Kila mtu yupo kimya ! Hakuna ajira kwa waalimu Wala wauguzi ! Vijana wetu waliposikia mbwembwe za waziri wa tamisemi walianza kumeza mate ya matumaini lakini wameanza kupaliwa kwa ukimya wa wizara ya elimu pamoja na tamisemi !! Ninini ambacho kilifanya mtangaze ajira ambazo Bado hazijawa tayari ? Rais wangu watanzania huku vijiweni wanaongea vitu tofauti na unavyoambiwa na wateule wako !huku mtaani Hali ni ngumu !! Narudia Tena hali ni ngumu !! Weka utaratibu wa kutusikiliza sio Kila kitu kipitie kwa wateule wako wanakudanganya !!
Hupo ikulu hapo unatuchora wewe kombaKamshitaki kwa mjumbe wako wa nyumba 10.
Ikiwa lugha yenyewe ni namna hiyo, hupaswi kupata kazi popote, jifanyie kazi zako binafsi tu.Hupo ikulu hapo unatuchora wewe komba
Ngoja tumalize kutatua changamoto za wasanii kwanzaumeskizwa hata kwa hili bandiko lako tu 🐒
kua mstahimilivu na mwenye subra...
ajira nyingi kama hizo ni mchakato. usiwe na moyo wa kukata tamaa na kulaumu hali ngumu....
fursa rasmi hivi sasa kwenye kilimo ufugaji, biashara n.k zipo nyingi tu anza nazo ukisubiri hizo za ajira...
serikali sikivu ya CCM itamkiza kila mTanzania mwenye maoni na mtazamo wa kujenga ili kama Taifa tusonge mbele Pamoja 🐒
sifahamu hata 🐒Ngoja tumalize kutatua changamoto za wasanii kwanza
Mambo ya wasanii ndiyo jambo
Muhimu sana kuliko yote nchi hii
😄
Ova
sawa wasanii 🐒Utafahamuu tu
Ova
Tatizo watu mnapenda sana kudanganywa. Mkiambiwa ukweli hamtaki ila mkidanganywa mnashangilia.Utawala ni watu ,mamlaka ni majeshi ! Kibali Cha mungu ni sauti ya watu ! Rais wangu wateule wako ni WA kwako sio wa kwetu ! Usipime Imani yetu kupitia wateule wako ! Wateule wako wapo ili wakufurahishe wewe ni sio kutuhudumia sisi hili unalijua? Aliyeshiba hamjui mwenye njaa! Juzi wametutangazia nafasi za kazi kwa mbwembwe ! Kwamba wewe umeidhinisha waajiriwe waalimu 12000!! Na wauguzi kadhaa wa kadhaa ! Tulijua shule zitafungua na waalimu wapya watakuwa kazini na tulidhani upungufu wa waalimu unaenda kutatuliwa mara Moja ! Kinyume chake shule zimefunguliwa Kila mtu yupo kimya ! Hakuna ajira kwa waalimu Wala wauguzi ! Vijana wetu waliposikia mbwembwe za waziri wa tamisemi walianza kumeza mate ya matumaini lakini wameanza kupaliwa kwa ukimya wa wizara ya elimu pamoja na tamisemi !! Ninini ambacho kilifanya mtangaze ajira ambazo Bado hazijawa tayari ? Rais wangu watanzania huku vijiweni wanaongea vitu tofauti na unavyoambiwa na wateule wako !huku mtaani Hali ni ngumu !! Narudia Tena hali ni ngumu !! Weka utaratibu wa kutusikiliza sio Kila kitu kipitie kwa wateule wako wanakudanganya !!
Wasaidieni hao wasaniisawa wasanii 🐒
wanasaidia kupunguza stress ee na vitamin music 🎵 🐒Wasaidieni hao wasanii
Nguvu yote elekezeni huko
Ova
Kuwajaza watu ujingawanasaidia kupunguza stress ee na vitamin music 🎵 🐒
wewe skiza ngoma kali tu kama vile maisha, Dotinata, Leo Imefika Siku yangu za akina Bana Mwambe na msondo ngoma ya waTanzania, ujiliwaze siku iishe vizuri 🐒Kuwajaza watu ujinga
Wasanii wako kaole huko
Nyie wadangaji na mamarioo mnasema wasanii 😄
Hivi ngoma ngumu kama mimi nikae niangalie bongo movie
Wanangu wenyewe mpk wanakuwa hawajawahi kutizama huo uchaf
Ova
Yule aliyezitafuta mali juani ndiye huwa ana uchungu sana. Unataka kusema nini?Hivi kati ya mtu aliyepata mali kwa kutafuta juani na yule aliyerithi kutoka kwa mzazi wake; nani huwa na uchungu sana na hizo mali?
Chura KIZIWI 🤣😅
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.