Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Katika Marais wote waliopita hakika huyu Samia ndo kaharibu kbs hii nchi.

1. Ameuza bandari ambayo hakuna Rais aliewai Fanya ivyo.

2. Hakuna maendeleo aliofanya mpka sshv ..kazi ni kumsfia tu.

3. Nidhamu serikali hakuna kbs...watu wamekuwa wazembe

4. Rushwa imekithiri kwa kiwango Cha lami.

Ushauri wangu, aache tu kugombea Kwan huku mtaan hakuna anemuelewa zaidi ya machawa wasiojielewa kabisa na ukiona mtu anapendwa sana na wasaidizi wake ujue hakuna anachofanya.

.Bali wapo pale kwa masilahi Yao.
 
Kuna mbweha zinamsifia mama kwa kutumbuliwa naibu raisi wa kenya.

Mvua ikinyesha, mama anaupiga mwingi. Pumbavu.
 
Mukimchukia nyinyi inatosha si lazma wote tumchukie sio pesa yeye kwamba apendwe na kila mtu pia sio kinyesi yeye achukiwe na kila mtu.
 
We ulipomchukia hadi sasa umeongeza nini kweny maisha yako? Huo mwanzo tu picha bado halijaanza hadi mufe kwa chuki awamu hii CHADEMU
Abui umekuja juu kumtetea haloo yako๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ, ukorofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ