Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Katika Marais wote waliopita hakika huyu Samia ndo kaharibu kbs hii nchi.

1. Ameuza bandari ambayo hakuna Rais aliewai Fanya ivyo.

2. Hakuna maendeleo aliofanya mpka sshv ..kazi ni kumsfia tu.

3. Nidhamu serikali hakuna kbs...watu wamekuwa wazembe

4. Rushwa imekithiri kwa kiwango Cha lami.

Ushauri wangu, aache tu kugombea Kwan huku mtaan hakuna anemuelewa zaidi ya machawa wasiojielewa kabisa na ukiona mtu anapendwa sana na wasaidizi wake ujue hakuna anachofanya.

.Bali wapo pale kwa masilahi Yao.
 
Mukimchukia nyinyi inatosha si lazma wote tumchukie sio pesa yeye kwamba apendwe na kila mtu pia sio kinyesi yeye achukiwe na kila mtu.
 
Back
Top Bottom