Yumkini ni kutokana na kumtambua mwanamume (mfumo dume) ktk kuendeleza vizaziNi kweli mama Ana uwezo mdogo lakini kama wasaidizi wake wakiwa wazuri Basi hamna shida
Siku zote wanawake huwa Wana uwezo mdogo ndo maana 99.999% ya manabii Ni wanaume...walioacha legacy Wengi Ni wanaume
...huna hoja.Timu Magu kazini..
Ujue kuna muda wakuzibua watu vibao washtue mzee alishafariki na lazima kukubali utawala mpya..
Hayo ulosema yapo tangu muda tuu sema wakati umelewa mvinyo wa maneno ya Magu ulikuwa huyaoni.. Alafu ule ulikuwa sio uongozi ila ni ubabe.. Mlipendelewa nyie timu kuabudu alafu wengine wakiumia . Sa hivi kibano kimegeuka mnalia.
Huu ulozi mwingine wenye harufu ya taga la jiweHuo ni ukweli ulio bayana.
Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi,dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.
Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.
Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu.Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.
Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Baraza lote ni kanda ya ziwa,DPP,Jaji mkuu,IGP,CDF, MaDeD karibia wote,RC karibia wote, DC karibia wote, takukuru,TISS. Hao wote ukanda ule. Leo mnasema ataongoza Tz. Yetu macho...huna hoja.
Kwamba huelewi kuanzia Rais Samia hadi baraza lote la mawaziri ni timu Magu!?
Naona wajane wa mwendazake bado mmejawa na mihasira sana.Atafanya maamuzi sahihi sana kujiuzuru kabla ya madhira kuwa makubwa... na jinsia yake ya kike.
JPMNyerer mkapa kikwete, maguful wote tunalalamika hawakuweza sasa nani anawezaa!??
Jiwe kaacha legacy ipi kwa mfano?Ni kweli mama Ana uwezo mdogo lakini kama wasaidizi wake wakiwa wazuri Basi hamna shida
Siku zote wanawake huwa Wana uwezo mdogo ndo maana 99.999% ya manabii Ni wanaume...walioacha legacy Wengi Ni wanaume
Hajui hilo nadhani huyu Bado hajamaliza matangaJiwe ameshakufa na harudi tena,Endelea tu kupiga ramli.
Jiwe ameshakufa na harudi tena,Endelea tu kupiga ramli.
Hata ikulu hajatoka hapo nje. Atachomwa na jua ngozi itaharibikaInasikitisha sana! Toka achaguliwe hajafanya ziara hata moja kwenye miradi mikubwa ya kimkakati
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wasukuma hao wanafadhiliwa na makonda wamtukane Samia mitandaoni, ila dawa yao inachemkaMnalipwa na nani?
Makonda?
Akisema ukweli ametupwa?Mleta mada utakuwa umetumwa, sio bure. Unatumika kwa faida ya nani, naomba ujiulize.
JESUS IS LORD!
Huyo pia watanzania wanalalamika alikuw dikteta!
Hii nchi bila udkteta haiendiHuyo pia watanzania wanalalamika alikuw dikteta!