Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ni kweli mama Ana uwezo mdogo lakini kama wasaidizi wake wakiwa wazuri Basi hamna shida



Siku zote wanawake huwa Wana uwezo mdogo ndo maana 99.999% ya manabii Ni wanaume...walioacha legacy Wengi Ni wanaume
Yumkini ni kutokana na kumtambua mwanamume (mfumo dume) ktk kuendeleza vizazi
 
Binadamu akishazowea utumwa anakua hathamini uhuru wake. Anaweza akafanya kila njia aweze kurudia tena utumwani.

Mkuu huoni hayo mabishano na malumbano ndio uhuru na haki yenyewe ambayo huwapa watu furaha na matumaini katika nchi yao? Kipindi cha mwenda zake ndio wakati kuliibuka vipindi vingi sana vya michezo radioni tena kuanzia asubuhi. Hii ilitokana na watu kunyimwa uhuru wa kujadili mambo mengine yanayohusu nchi yao na jinsi wanavyoongozwa/tawaliwa na viongozi wao
 
Timu Magu kazini..
Ujue kuna muda wakuzibua watu vibao washtue mzee alishafariki na lazima kukubali utawala mpya..
Hayo ulosema yapo tangu muda tuu sema wakati umelewa mvinyo wa maneno ya Magu ulikuwa huyaoni.. Alafu ule ulikuwa sio uongozi ila ni ubabe.. Mlipendelewa nyie timu kuabudu alafu wengine wakiumia . Sa hivi kibano kimegeuka mnalia.
...huna hoja.

Kwamba huelewi kuanzia Rais Samia hadi baraza lote la mawaziri ni timu Magu!?
 
Nyerer mkapa kikwete, maguful wote tunalalamika hawakuweza sasa nani anawezaa!??
 
Huo ni ukweli ulio bayana.

Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi,dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.

Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.

Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu.Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.

Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Huu ulozi mwingine wenye harufu ya taga la jiwe
 
...huna hoja.

Kwamba huelewi kuanzia Rais Samia hadi baraza lote la mawaziri ni timu Magu!?
Baraza lote ni kanda ya ziwa,DPP,Jaji mkuu,IGP,CDF, MaDeD karibia wote,RC karibia wote, DC karibia wote, takukuru,TISS. Hao wote ukanda ule. Leo mnasema ataongoza Tz. Yetu macho
 
Tuambie unamtaka nani??

Unapomkataa yeye unamtaka nani?
Unayeona anafaa.

Usiogope mtaje tu hata kama ni Askofu Rashid.
Au waweza hata kusema badala yake awe Bashite.
Pendekeza tu yupi anafaa Bashiru au Slow

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom